johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,532
- 141,334
RC Makonda ameyasema hayo katika kikao chake na mameneja wa TANESCO wa Dsm/Pwani alioutisha kujadili tatizo la umeme lililopo jijini kwa sasa. Meneja wa mkoa amemthibitishia Makonda kuwa tatizo la mgao wa umeme usio rasmi utaisha ndani ya siku mbili kuanzia leo. Pia meneja huyo amesema watafanya tathmini ya kuunganisha umeme kwa shule zote za Dsm na kuikabidhi kwa Makonda haraka iwezekanavyo kwa ajili ya utekelezaji wa mradi.
Source: Channel Ten Tv!
Source: Channel Ten Tv!