Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo, je yupo sahihi?

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,636
6,261
Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo je yupo sahihi? Navyojua makonda usimamizi wake kwa shughuli za kiserikali unaishia dar es salaam pekee. maswala ya kitaifa na kimataifa anayotangaza je kurungenzi ya habari hau msemaji wa ikulu hau wizara ya mambo ya nje imemuagiza atangaze hau taarifa za ikulu yeye ndiye anakua wa kwanza kupokea!!? mwenye uelewa wa haya mambo atujuze.
 
Awamu ya tano wanajua kufuata taratibu ,sheria na kanuni?wenyewe ni full mikurupuko hakuna cha protocol wala nini ni kujiendea tu kama ng'ombe machungani .
 
Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo je yupo sahihi? Navyojua makonda usimamizi wake kwa shughuli za kiserikali unaishia dar es salaam pekee. maswala ya kitaifa na kimataifa anayotangaza je kurungenzi ya habari hau msemaji wa ikulu hau wizara ya mambo ya nje imemuagiza atangaze hau taarifa za ikulu yeye ndiye anakua wa kwanza kupokea!!? mwenye uelewa wa haya mambo atujuze.
Tatizo la kuja mjini miaka miwili iliopita
Dar miaka yote toka awamu ya kwanza,Rc hutangaza ujio wa wageni kwa wakazi wake wajiandae na mapokezi
Toa kwanza tongo tongo kabla ya kumvamia Makonda,anatekeleza jukumu lake
 
Acha uongo !
 
Ushatoka kwenye chibuku
Wewe upo mjini siku nyingi toka kyela,kina makamba,lukuvi,kandoro wote walikua wanatoka hadharani,kutaja ruti atakayopita mgeni na kuwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi
Umemaliza utata. Sio hivyo tu nakumbuka ujio wa Obama jinsi Rpc Kova wakati wa JK alivyokuwa anasisitiza usafi na usalama atakapo fika nchini.
 
Inategemea ataingia kupitia mkoa gani,Mara nyingi mkuu wa mkoa husika ndiye anayeutangaza ugeni huo na kuwahamasisha wananchi kumpokea mgeni huyo
 
Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo je yupo sahihi? Navyojua makonda usimamizi wake kwa shughuli za kiserikali unaishia dar es salaam pekee. maswala ya kitaifa na kimataifa anayotangaza je kurungenzi ya habari hau msemaji wa ikulu hau wizara ya mambo ya nje imemuagiza atangaze hau taarifa za ikulu yeye ndiye anakua wa kwanza kupokea!!? mwenye uelewa wa haya mambo atujuze.

!
!
Atafikia Mkoani Kwake. Hivi Kuna Cheo Cha Naibu Raisi?
 
Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo je yupo sahihi? Navyojua makonda usimamizi wake kwa shughuli za kiserikali unaishia dar es salaam pekee. maswala ya kitaifa na kimataifa anayotangaza je kurungenzi ya habari hau msemaji wa ikulu hau wizara ya mambo ya nje imemuagiza atangaze hau taarifa za ikulu yeye ndiye anakua wa kwanza kupokea!!? mwenye uelewa wa haya mambo atujuze.
Mkuu ni AU na sio HAU
 
Back
Top Bottom