pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Makonda kutangaza ujio wa Rais wa Congo je yupo sahihi? Navyojua makonda usimamizi wake kwa shughuli za kiserikali unaishia dar es salaam pekee. maswala ya kitaifa na kimataifa anayotangaza je kurungenzi ya habari hau msemaji wa ikulu hau wizara ya mambo ya nje imemuagiza atangaze hau taarifa za ikulu yeye ndiye anakua wa kwanza kupokea!!? mwenye uelewa wa haya mambo atujuze.