MAKONDA KUSEMA WAKRISTO KUOWA MMOJA NA KUENDELEA

HM: makondo kusema kwamba wakristo kuowa wanawake wawili je, ni sawa au ndio kutafuta kiki mjini au ni kweli itakuwa imesaidia dada zetu kukaa nyumbani muda mrefu bila ya kupata mchumba?
Anajiwekea mazingira ili na yy aoe wa pili...hapo anamuandaa mkewe kisaikolojia ili asijepata taharuki akiona kaletewa mke mwenza
 
Back
Top Bottom