Makonda kuhamia chama chenye demokrasia na maendeleo

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
16,940
2,000
Aiseee ni utani tuuuu ndo maana nimeleta hili jukwaaa looh kuna watu mishipa ingewatoka kama nakuona vile.......
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,063
2,000
Wanaccm wanaenda upinzani kujisafisha(kuchamba) wakisafishwa wanarudi walipotoka cc. Sepenga na masha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom