Makonda kubadili jeshi la polisi kwenda kisasa katika kukabiliana na uhalifu

Jamaa hajasikika muda mrefu sana.

Najiuliza siku hizi hawauziani tena magari ya UMMA kinyemelela? Au pesa za kuagiza gari mpya hakuna
 
Hongera Makonda...Sasa Polisi wa wale watakaokuwa kwenye pikipiki watabeba 9mm badala ya SMG
 
Star tv ndo media pekee inayosaliti azimio la kumfungia bashite hii habari ilipewa coverage kubwa saaaana na star tv hadi wameandaa documentary inayoruka Mara Kwa Mara
Wanatengeneza ground ya kufutiwa deni lao na TRA
 
Baiskeli !!
Mbona kuna mapikipiki chungu nzima kwenye kila kituo,kwanini wasizikalabati wawape polic watumie.

Wezi wa dar wanatumia zaidi pikipiki boxsear.
Baiskeli itasaidia nini.
HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA KODI ZETU.

Naona ameamu kwendakinyume na kauli ya kubana matumizi Sasa.

JIPU HILI LINAIVA TALATIIBU.
 
Hili suala lilitakiwa lisimamiwe na Katibu Mkuu ama Naibu Waziri/Waziri wa Mambo ya Ndani sio mkuu wa mkoa. Hili tukio halikuwa la kimkoa llilikuwa la kitaifa kwani lilihusisha mikoa 2 Dar na Kilimanjaro, suala la kuwapa vitendea kazi nalo ni la Wizara ya mambo ya ndani kupitia IGP. Je hizo pesa za kuweka computers mkuu wa mkoa atatoa kwenye bajeti ipi.
Mheshimwa makonda sometimes protocol ni muhimu kufuatwa.
 
Kwanini aingefumnga camera kwenye magari mapya... Au hakuna ela za kununua gari mpya kwa sasa.. A kwanini yamepelekwa kilimanjaro.. Au ni ofa?
 
Back
Top Bottom