Makonda kubadili jeshi la polisi kwenda kisasa katika kukabiliana na uhalifu

How did he quantify gharama/impact ya rushwa mpaka aje na suluhisho la gharama Kama hilo la kuweka camera kila kituo!! By the way how effective is the camera in detecting corruption.!!
Cameras on those cars, computers on police posts/stations.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema jeshi la Polisi katika Mkoa huo linatakiwa kuwa la mfano wa kuigwa katika kukabiliana na kila wimbi la uhalifu, ili wananchi waishi kwa amani kutokana na umuhimu wa biashara.

Makonda ameyasema hayo leo (14/06/2017) wakati wa kupeleka magari 26 ya polisi kwenye ukarabati katika gereji iliyoko maeneo ya Utalii mkoani Kilimanjaro, kwa ajili ya matengenzo pamoja na ufungaji wa Kamera katika magari hayo alipokuwa anazungumza na jeshi la polisi leo Osterbay jijini Dar es Salaam.

Amesema katika kukabiliana na rushwa na jeshi hilo, watafunga kamera katika kila kituo ndani ya jiji la Dar es Salaam, ambapo OCD , kanda maalumu, pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi wataweza kuona kile ambacho kinafanyika.

Makonda amesema jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es Salaam linatakiwa kuwa la kisasa zaidi katika kukabiliana na uhalifu wa kila namna ikiwa ni pamoja na kuwa na vifaa vya kisasa.

Amesema katika maboresho hayo wataweka Kompyuta kila kituo ili kuachana na kuandika maelezo katika karatasi na mtu yeyote, baada ya kuwekwa kompyuta hizo asikubali kuandikiwa maelezo katika karatasi.

Aidha amesema kuna baiskeli ziko njiani ambazo zitagawiwa kwa polisi ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na uhalifu katika mazingira ambayo kifaa hicho kinaweza kupita.

Nae Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amesema Jeshi la Polisi kanda maalumu inakabiliwa na changamoto ya magari pamoja na mafuta na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi katika kukabiliana na wahalifu wa kila namna .

Amesema kuwa kutokana maboresho hayo yataweza kubadilisha hata takwimu zilizo katika kipindi hiki zisirudie kutokana na maboresho hayo.

View attachment 524783
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na watendaji mkoa na polisi katika hafla ya upelekaji wa gari 26 ya jeshi la polisi katika matengenezo mkoani Kilimanjaro leo jijini Dar es Salaam.

View attachment 524784
Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya (wa pili kutoka kulia) akitoa ufafanuzi kuhusu magari yaliyoharibika kwa ajili ya kwenda katika matengenezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na watatu kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni , Ally Hapi leo katika Kituo cha Polisi Osterbay jijini Dar es Salaam.

View attachment 524785
Moja ya gari mbovu ya Polisi ikiwa tayari kwa kusafirishwa kwa ajili matengenezo mkoani Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika katika Kituo cha Polisi cha Osterbay jijini Dar es Salaam.

View attachment 524786
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa pamoja na Wanajeshi wataopeleka magari kwa ajili ya matengenezo mkoani Kilimanjaro katika hafla iliyofanyika leo katika kituo cha Osterbay jijini Dar es Salaam.

C&P
Chanzo michuziblog 14/06/2017

n.b. jamani nimewaletea habari nzuri sana hii haswa kwa wakazi wa Dar.

People need his credentials and not this rubbish
 
Huyo kesha kataliwa na vyombo vya hbr,ww unamtoa wa nn?,hivi kwa Technology yasasa unapeleka baskeli,wakati wezi wanatumia pikipiki? Mmmm
 
Kwa technology ya Sasa unapeleka baskeli kwa police kukimbiza mwizi, kweli? Hivi tunarudi nyuma au tunakwenda mbele?wezi wenyewe wanakwenda na wakati,wanatumia Bodaboda au magari,,ni Sasa mlinzi analinda kwa rungu,jabazi anatumia SMG/G3.Jamani tuache kutafuta kiki kisiasa,twende na wakati,ni heri police kutumia miguu kuliko baiskeli,hv kwenye hambushi unaweza kimbia na baiskeli? Mmmmm, haya,
 
Lakini mala hii afadhari kapata kuongea mbele ya maiki mbili duh Bashite mpambanajiasiechoka wala kuona aibu
 
Bila shaka watakua wanazipeleka kwa wale singasinga Rajinder

Naangalia logistics na gharama zake kusafirisha hayo magari mabovu mpaka mkoani Kilimanjaro.
Huku Serikali hii hii ilitoa tamko kuwa TEMESA makao makuu pale Darajani barabara ya Nyerere imeboreshwa ili iweze kuwa na uwezo wa kutengeneza hayo magari.

Vipi yale mkuu wa mkoa aliyoyatoa pale ofisini kwake kwenda kutengenezwa Mbezi yalishakuwa tayari?

Mkuu wa mkoa awe na utaratibu wa kuita Waandishi anapotoa magari kwenda kutengenezwa na pia yanaporudishwa.
 
Back
Top Bottom