Makonda: Kama kweli ni mzalendo, wataje Viongozi wanaotumia majina ya watu

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
Bw. Makonda: Ukifanikiwa kuwataja Mawaziri, Ma Dc na Ma Rc na waandamizi serikalini na CCM wanaotumia majina ya watu na wamewaweka vizuizini wenye majina halisi, Utakuwa shujaa, kuliko hii ya UNGA.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
 
Hawezi kufanya yote kwa wakati mmoja.

''Serikali yasema wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka nchini, madawa ya kulevya hali ngumu ya maisha, tatizo la saikolojia ni kati ya sababu''

Habari unayo.
 
Bw. Makonda: Ukifanikiwa kuwataja Mawaziri, Ma Dc na Ma Rc na waandamizi serikalini na CCM wanaotumia majina ya watu na wamewaweka vizuizini wenye majina halisi, Utakuwa shujaa, kuliko hii ya UNGA.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
Ivi wewe kisandu na ile cv yako ya kuunga unga umeshatoka kutunga mtihani wa pasaka manake uta update cv yako tena
 
Mkuu nilidhani ungesema amtaje Riziwani, GSM na Mtoto wa Rais Mwinyi.....
 
Bw. Makonda: Ukifanikiwa kuwataja Mawaziri, Ma Dc na Ma Rc na waandamizi serikalini na CCM wanaotumia majina ya watu na wamewaweka vizuizini wenye majina halisi, Utakuwa shujaa, kuliko hii ya UNGA.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.
Ngoja Kwanza walau hii vita iishe, tusimuonee Kijana, omba basi hata mtu mwingine afanye hivyo au wewe tujuze
 
Bw. Makonda: Ukifanikiwa kuwataja Mawaziri, Ma Dc na Ma Rc na waandamizi serikalini na CCM wanaotumia majina ya watu na wamewaweka vizuizini wenye majina halisi, Utakuwa shujaa, kuliko hii ya UNGA.

Deogratius Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.

Amtaje tu yule aliyekua anamfungia gidamu za viatu kama kweli yeye ni mwanaume na siyo anaonewa na mange
 
Ataanzia wapi huu nichezo wakuigiza..hii serikari kunawatu inao watafuta lkn inatafuta pakuanzia. Nawapeni pole wapinzani mtaishia jela wote mlikuwa wachochezi sasa wauza ngada kweli upinzani hautakuepo kufikia 2020..wote mtakua lupango ..polenisana
 
Back
Top Bottom