Mi nilijua walimu saba wa primary, kumbe wanasheria? Yesu na Maria.
Kusaidiana nao ndiyo kuwaajiri?
Mshahara wa Mkuu wa Wilaya ulipe wanasheria saba!! Nchi hii itakuwa inamatutusa wa sheria na sio wanasheria
Ana laana ya Mzee warioba huyu Mbuzi.n
Huyu mwansheria wa JF kakurupuka.as long as huyo DC hajatoa specifics huwezi kum-pin down based on vague statements.hata hiyo kada ya sharia wana madaraka tofauti.sidhani kama paralegals wanalipwa sawa na advocates,n.k,au fresh graduates sidhani kama wana malipi sawa na wakongwe.ingehitaji ujue details za kutosha kabla ya kuna na hii conclusion kuwa taaluna imedhalilishwa.Kwani wanasheria hawawezi kufanya kazi kwa kujitolea na kulipwa mshahara mdogo?
Au bongo hamna Pro Bono?
Mkuu babu Asprin unauliza bei ya mshahara wa mkuu wa wilaya kwani unauzwa wapi tukaulizie bei?Hekima na busara ni kumbishia mtu na kuweka facts. Haya tuambie mshahara wa mkuu wa wilaya bei gani?
acha urongo,huo sio mshahara wa mkuu wa wilaya.Tafuta taarifa sahihi,ila huo siyo mshahara wao
Huyu mwansheria wa JF kakurupuka.as long as huyo DC hajatoa specifics huwezi kum-pin down based on vague statements.hata hiyo kada ya sharia wana madaraka tofauti.sidhani kama paralegals wanalipwa sawa na advocates,n.k,au fresh graduates sidhani kama wana malipi sawa na wakongwe.ingehitaji ujue details za kutosha kabla ya kuna na hii conclusion kuwa taaluna imedhalilishwa.
Mkuu umeijibu kisheria zaidi na imekaa poa. Mtoa mada pamoja na kujua sheria naona ame construe kuajiri kama kumuajiri mtu kama vile ambavyo unaajiriwa na kwenda ofisini kila siku kwa ujira wa mwezi. Hapa kuajiriwa kwa mwanasheria kuna maana ya ku engage. Angeangalia zile test za contract for service na contract of service zingemsaidia sana katika hili badala ya kusema kwamba watalipwa mshahara kidogo bila kujua aina ya mkataba.Mr. Mselewa, na wewe sheria umejifunzia wapi? Kama mwanasheria unawezaje kutoa statement kama uliyotoa bila kuwa na facts? Umeshaona terms za contract ya Mh. Makonda na hao wanasheria? Kwa sababu wewe una assumption kuwa wanasheria wanalipwa hela nyingi sana umeshindwa kujua kuwa kibarua chochote ni makubaliano kati ya mwajiri na mwajiriwa. Hata mwanafunzi wa mwaka wa kwanza anajua hicho. Nikiwa na kesi nitajitahidi kukwepa wanasheria kama wewe.