Makonda jana katuchuza!!

MalcolM XII

JF-Expert Member
Mar 19, 2019
5,235
14,199
Yaani kilichotokea jana kwenye baadhi ya sehemu za starehe nilizopitia kwenye maeneo ya Tabata ni kufuru nusu na robo..

Kwa ule mkusanyiko wa watu, bila ya shaka kama mtu hajapata Corona maeneo yale basi huu ugonjwa utakuwa umeisha!

Huwezi kuamini namna watu walivyojaa..

Kuna muda naenda toilet, pale nje nakuta wakuu na mademu zao wanakula vitu, kwelii!!??

MHH! YA JANA NI KUFURU KWA KWELI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLIPEWA ELIMU MBOVU ILI MTAWALIWE KIURAHISI. NI RAHISI SANA KUONGOZA WAJINGA KAMA WATANZANIA.

NDIO MAANA SERIKALI ILITOA AMRI MTU HATA KAMA HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA AENDE FORM I. MTOTO HAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA ILA YUPO SEKONDARI. HII NDIO TANZANIA YA MZEE MEKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kilichotokea jana kwenye baadhi ya sehemu za starehe nilizopitia kwenye maeneo ya Tabata ni kufuru nusu na robo..

Kwa ule mkusanyiko wa watu, bila ya shaka kama mtu hajapata Corona maeneo yale basi huu ugonjwa utakuwa umeisha!

Huwezi kuamini namna watu walivyojaa..

Kuna muda naenda toilet, pale nje nakuta wakuu na mademu zao wanakula vitu, kwelii!!??

MHH! YA JANA NI KUFURU KWA KWELI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wenu wa Dar kawauza

acha kelele wewe kula bia

picha baba, wacha bla bla
 
Sasa mnamlaumu MAKONDA kwa lipi?

Kwani alikuja kuwaswaga kuwapeleka huko kwa mijeledi au mlijipeleka wenyewe?

Kwa watakaopata corona maeneo hayo na wafe tu!
 
Back
Top Bottom