DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Wanaukumbi
Namkumbusha Paul Makonda ajitafakari mbeleni, ajiulize alipo Magesa Mulongo.
Siku zote kuna kupanda ngazi na kushuka, matatizo huanza na Legasy mbaya ulioacha hasa kwa kuuweka utofauti na watu fulani wakati ukiwa na mamlaka
Angalia Mbowe na wengineo watakufungulia kesi za kutosha, hapo hapo ukapigwa chini, lile bembea unalolitegenea kisheria likawa kando..lazima kortini utabaki peke yako.
Bila ubishi utampigia magoti Warioba, Lowassa ,Sumaye na Malechela wazungumze na akina Mbowe mmalizane nje ya korti... kabla ya hapo Utawaomba msamaha kwanza hao wazee.
Wakati huo unakuja na atakayekupeleka kwa hao wazee watakuwa Zitto ama Lema.
Time will tel.