Nimeshuhudia mara nyingi Bwana Makoda akihubiri amani, na kwamba amani ndio njia muafaka ya kuleta maendeleo ya watu waliostaarabika.
Nilikuona ukimshambulia Rostam Aziz katika vyombo vya habari, ilikuona ukimshambulia Lowasa katika vyombo vya habari hukutumia njia ya vikao! nilikuona ukimshambulia Warioba, wewe na Amon Mpanju, hii si kwa maneno bali kwa vitendo. Hii ndiyo amani unayohubiri? Kama wewe na Mpanju mlitumia njia hizi mkapata nafasi, mbona na sisi tuliishaanza kutafuta wabaya wa Magufuli ili tuwapige kwa matumaini ya kupewa vyeo! Usitupotoshe, Amani hailipi hapa Tanzania. Ukiwa muumini wa amani unageuzwa ngazi ya waovu kupanda na kukuacha. Ona Lowasa, ona Maalim Seif hao si waumini wa amani? Imani yao imewasaidiaje? Wale wanaotumia maguvu si unaona wanaapa kulinda katiba kila siku?
Kuna Amani na Amani. Amani hazifanani!