Makonda , hapa nakupa Tano Mkuu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,181
At long last, kupitia Mkuu wa Mkoa Paul Makonda , barabara za Mbezi Beach, Kunduchi na Tegeta zimeanza kushughulikiwa na Serikali.

Wananchi wa sehemu hizo tulikuwa tunasononeka sana kwa kupitwa kila Awamu tokea enzi ya Mkapa.
Tuliona barabara nyingi za Wilaya nyingine zikitengenezwa na kupitika isipokuwa huku Kawe.

Makonda ameonyesha njia .
Watendaji wengi walikuwa wskilikwepa jimbo hili, ati la upinzani.
Kisingizio cha kipuuzi sana maana hata sisi wapenzi wa chama tawala tupo huku, tena kwa wingi.

Ombi langu kwa Comrade Makonda: barabara ya Makonde , Mbezi Juu hadi Baraza la Mitihani na kuunganisha na barabara ya Goba, naomba nayo iingie mpango wa uboreshaji miundo mbinu Mbezi Beach.

Makonda umeweza, matokeo yake utayaona kuongezeka kwa wafuasi wa JPM ,come 2020.
 
At long last, kupitia Mkuu wa Mkoa Paul Makonda , barabara za Mbezi Beach, Kunduchi na Tegeta zimeanza kushughulikiwa na Serikali.

Wananchi wa sehemu hizo tulikuwa tunasononeka sana kwa kupitwa kila Awamu tokea enzi ya Mkapa.
Tuliona barabara nyingi za Wilaya nyingine zikitengenezwa na kupitika isipokuwa huku Kawe.

Makonda ameonyesha njia .
Watendaji wengi walikuwa wskilikwepa jimbo hili, ati la upinzani.
Kisingizio cha kipuuzi sana maana hata sisi wapenzi wa chama tawala tupo huku, tena kwa wingi.

Ombi langu kwa Comtade Makonda: barabara ya Makonde , Mbezi Juu hadi Baraza la Mitihani na kuunganisha na barabara ya Goba, naomba nayo iingie mpango wa uboreshaji miundo mbinu Mbezi Beach.

Makonda umeweza, matokeo yake utayaona kuongezeka kwa wafuasi wa JPM ,come 2020.

Nikishajua maana ya neno ' Comtade ' kama ulivyoliandika hapo juu nitarejea sasa Kuchangia rasmi huu Uzi wako.
 
Mbona hizo gharama zinagharamiwa na mfiko wa jimbo hangera sana mabunge wa maeneo husika.
 
Tembelea barabara hizi:
Tegeta:Barabara ya Nyuki~Bahari Beach.

Salasala: Barabara ya Salasala

Mbezi Beach: Barabara za
1. Shoppers Plaza
2. River Rd.to Goba rd

Tembea uone.
Ni ushindi kwa wananchi wa Mbezi Beach, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Huku mbezi juu barabara bado Tarura hawajatutendea haki. Nimeona kuna sehemu wanarekebisha madaraja lkn barabara bado na mvua zinakuja. Barabara ya makonde hadi ndumbwi Mbele zaidi mwembeni kufika hadi contenna, mbezi manyema unatokae ofisi za Tatedo hatimaye unaunga na lami ya Goba pale kwa Olomi nayo ingefanyiwa matengenezo ingependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom