Kuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea kwenye majimbo ambayo yapo kwenye mikoa na wilaya walizokuwa wakiongoza.
Nawazungumzia waliokuwa wakuu wa mikoa na wilaya. Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kati ya wakuu wa mikoa na wilaya wa naowania Ubunge kwenye majimbo yaliyopo kwenye mikoa waliyokuwa wakiiongoza. Makonda anawania Kigamboni ya Dar es Salaam na Gambo anawania Arusha Mjini kule Arusha.
Kwa jinsi walivyokuwa wakijipambanua, kujitangaza na kuonekana kama wachapakazi na watatuzi wa changamoto za wananchi wao huku wakijisifu kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM, ni rahisi kuamini kuwa wana nguvu kubwa ya kuwaunga mkono ndani na nje ya chama chao cha Mapinduzi.
Leo, zoezi la kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania Ubunge ndani ya CCM limekamilika. Sasa unasubiriwa mchakato wa ndani ya chama kuwapata wagombea wa Ubunge katika majimbo husika. Makonda, Gambo na wanaofanana nao kwa jinsi walivyojichora hawapaswi kushindwa.
Kushindwa kwenye majimbo yao, ndani ya chama au kwenye uchaguzi mkuu, itakuwa ni aibu na kituko cha karne. Itawezekanaje 'wachapakazi na watekeleza ilani' kama Makonda na Gambo kushindwa? Kama ni kweli walikuwa wakiwatumikia vyema wananchi, wanapaswa kutunzwa kichama na wananchi wao.
Karibu ukweli utajianika!
Ndugai na Majaliwa - mmoja wao asubiri kuugulia maumivu tu endapo dogo atashinda ubunge.expand...
Bashite katumiwa na Magu kufanya matukio mazito sana ya kikatili.
Kinachoendelea, yeye kamtuma apate ubunge halafu afanywe spika ili awe na kinga post-2025 ( sheria washapitisha )
So Tusichoshane
Mtu muongo miaka 5 mfululizo, halafu aje aaminike kwa kikauli kimoja tu
Umeandika point kubwa sana.Umekuja kufanya nini hapa Duniani hapa unaona kushindwa kwa mtu aliyejaribu ni aibu? Isitoshe aibu ni kwa yule aliyejaribu na kushindwa au wewe ambaye hakuna kitu umefanya maisha yako yote hapa Duniani zaidi ya kukaa kusubiri Binadamu xyz anayejaribu akishindwa umcheke? Wakishindwa maisha yataendelea ndiyo Uanaume huo, lkn angalau watakuwa wamejua limitations zao, kurekebisha kama wakiweza na kusonga mbele na maisha, kuna mengi zaidi ya kufanya, ...
Nawashauri wasikubali kukatwaKuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea kwenye majimbo ambayo yapo kwenye mikoa na wilaya walizokuwa wakiongoza.
Nawazungumzia waliokuwa wakuu wa mikoa na wilaya. Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kati ya wakuu wa mikoa na wilaya wa naowania Ubunge kwenye majimbo yaliyopo kwenye mikoa waliyokuwa wakiiongoza. Makonda anawania Kigamboni ya Dar es Salaam na Gambo anawania Arusha Mjini kule Arusha.
Kwa jinsi walivyokuwa wakijipambanua, kujitangaza na kuonekana kama wachapakazi na watatuzi wa changamoto za wananchi wao huku wakijisifu kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM, ni rahisi kuamini kuwa wana nguvu kubwa ya kuwaunga mkono ndani na nje ya chama chao cha Mapinduzi.
Leo, zoezi la kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania Ubunge ndani ya CCM limekamilika. Sasa unasubiriwa mchakato wa ndani ya chama kuwapata wagombea wa Ubunge katika majimbo husika. Makonda, Gambo na wanaofanana nao kwa jinsi walivyojichora hawapaswi kushindwa.
Kushindwa kwenye majimbo yao, ndani ya chama au kwenye uchaguzi mkuu, itakuwa ni aibu na kituko cha karne. Itawezekanaje 'wachapakazi na watekeleza ilani' kama Makonda na Gambo kushindwa? Kama ni kweli walikuwa wakiwatumikia vyema wananchi, wanapaswa kutunzwa kichama na wananchi wao.
Karibu ukweli utajianika!
Kuna watu wanakwambia Magu anapambana na rushwa, sijui rushwa ya wapiBashite katumiwa na Magu kufanya matukio mazito sana ya kikatili.
Kinachoendelea, yeye kamtuma apate ubunge halafu afanywe spika ili awe na kinga post-2025 ( sheria washapitisha )
So Tusichoshane
Mtu muongo miaka 5 mfululizo, halafu aje aaminike kwa kikauli kimoja tu
Bashite katumiwa na Magu kufanya matukio mazito sana ya kikatili.
Kinachoendelea, yeye kamtuma apate ubunge halafu afanywe spika ili awe na kinga post-2025 ( sheria washapitisha )
So Tusichoshane
Mtu muongo miaka 5 mfululizo, halafu aje aaminike kwa kikauli kimoja tu
Kwa hakika wamemwangusha JPM na dhahiri wameonesha kutomwamini na huu ni utovu wa nidhamuKuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea kwenye majimbo ambayo yapo kwenye mikoa na wilaya walizokuwa wakiongoza.
Nawazungumzia waliokuwa wakuu wa mikoa na wilaya. Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kati ya wakuu wa mikoa na wilaya wa naowania Ubunge kwenye majimbo yaliyopo kwenye mikoa waliyokuwa wakiiongoza. Makonda anawania Kigamboni ya Dar es Salaam na Gambo anawania Arusha Mjini kule Arusha.
Kwa jinsi walivyokuwa wakijipambanua, kujitangaza na kuonekana kama wachapakazi na watatuzi wa changamoto za wananchi wao huku wakijisifu kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM, ni rahisi kuamini kuwa wana nguvu kubwa ya kuwaunga mkono ndani na nje ya chama chao cha Mapinduzi.
Leo, zoezi la kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania Ubunge ndani ya CCM limekamilika. Sasa unasubiriwa mchakato wa ndani ya chama kuwapata wagombea wa Ubunge katika majimbo husika. Makonda, Gambo na wanaofanana nao kwa jinsi walivyojichora hawapaswi kushindwa.
Kushindwa kwenye majimbo yao, ndani ya chama au kwenye uchaguzi mkuu, itakuwa ni aibu na kituko cha karne. Itawezekanaje 'wachapakazi na watekeleza ilani' kama Makonda na Gambo kushindwa? Kama ni kweli walikuwa wakiwatumikia vyema wananchi, wanapaswa kutunzwa kichama na wananchi wao.
Karibu ukweli utajianika!
Masha pamoja na Dialo usisahauWalishindwa kina Daniel Yona tena akiwa waziri,itakuwa Makonda na Mrisho ?
Kura za maoni. Mchakato ndani ya CCM.Daniel Yohan alishindwa na Anna Malecela. Masha na Diallo walishidwa na wagombea wa upinzani uchaguzi mkuu.Masha pamoja na Dialo usisahau
Yaani Gambo tayari chali.. Kwa maneno ya mwenyekiti wakati akimwapisha Rc mpya Gambo hana lake tena. Hawa wengineb50/50Kuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea kwenye majimbo ambayo yapo kwenye mikoa na wilaya walizokuwa wakiongoza.
Nawazungumzia waliokuwa wakuu wa mikoa na wilaya. Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kati ya wakuu wa mikoa na wilaya wa naowania Ubunge kwenye majimbo yaliyopo kwenye mikoa waliyokuwa wakiiongoza. Makonda anawania Kigamboni ya Dar es Salaam na Gambo anawania Arusha Mjini kule Arusha.
Kwa jinsi walivyokuwa wakijipambanua, kujitangaza na kuonekana kama wachapakazi na watatuzi wa changamoto za wananchi wao huku wakijisifu kusimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM, ni rahisi kuamini kuwa wana nguvu kubwa ya kuwaunga mkono ndani na nje ya chama chao cha Mapinduzi.
Leo, zoezi la kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za kuwania Ubunge ndani ya CCM limekamilika. Sasa unasubiriwa mchakato wa ndani ya chama kuwapata wagombea wa Ubunge katika majimbo husika. Makonda, Gambo na wanaofanana nao kwa jinsi walivyojichora hawapaswi kushindwa.
Kushindwa kwenye majimbo yao, ndani ya chama au kwenye uchaguzi mkuu, itakuwa ni aibu na kituko cha karne. Itawezekanaje 'wachapakazi na watekeleza ilani' kama Makonda na Gambo kushindwa? Kama ni kweli walikuwa wakiwatumikia vyema wananchi, wanapaswa kutunzwa kichama na wananchi wao.
Karibu ukweli utajianika!
Hao awatakiwi kabisa ni axis of evil,Yaani Gambo tayari chali.. Kwa maneno ya mwenyekiti wakati akimwapisha Rc mpya Gambo hana lake tena. Hawa wengineb50/50
Aaah ndio keshapigwa chini huyo mwingine October.Vumilia tu ndo demokrasia ilivo unavuna ulichopanda.Umekuja kufanya nini hapa Duniani kama unaona kushindwa kwa mtu aliyejaribu ni aibu? Isitoshe aibu ni kwa yule aliyejaribu na kushindwa au wewe ambaye hakuna kitu umefanya maisha yako yote hapa Duniani zaidi ya kukaa kusubiri Binadamu xyz anayejaribu akishindwa umcheke? Wakishindwa maisha yataendelea ndiyo Uanaume huo, lkn angalau watakuwa wamejua limitations zao, kurekebisha kama wakiweza na kusonga mbele na maisha, kuna mengi zaidi ya kufanya, ...
Kweli pesa anayoMakonda amepata pesa nyingi sana kwenye ukuu wa mkoa toka kwa akina GSM atatumia huo ukwasi ambao hata magu anaogopa kuuchunguza kuhonga ili wampitishe.
😷🚶♀️Kuna aina mbili za viongozi wa mikoa na wilaya wanaowania Ubunge. Wapo wale wanaowania kwenye majimbo ambayo hayako kwenye mikoa au wilaya walizokuwa wakizioongoza. Na wapo wale ambao wanagombea kwenye majimbo ambayo yapo kwenye mikoa na wilaya walizokuwa wakiongoza.