mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,840
Alikuja na mkwara mzito sana na kampeni yake ya mti wangu lakini matokeo hakuna kitu, miti imenyauka. Hivi watu waliamua kumkomoa kwa sababu wanasema anapenda sifa kama kujiita akisimama yeye ni Mungu kasimama?
Wataalamu walikuwa wapi wasimshauri miti ya kupanda?
Kwa waliopita Mwenge siku za karibuni pale ambapo zinapaki coaster ni gereji bubu pale nadhani kuna miti imepandwa juzi tu lakini iko vizuri. Nawaonea huruma walioshikiri kwenye kampeni kama Pengo, Waziri mkuu na watu kibao wenye majina lakini sasa kiko wapi!
Makonda huwezi jua kila kitu kisa mkuu wa mkoa