Makonda: Dar hali si shwari, watu wanapukutika. Walio nje ya mkoa huu bakini huko!

Huyu jamaa tangu amcheka Mtoto wa Mbowe kuwa ana Corona niliconclude akili yake haiko sawa na ana very low IQ kama 20 hv
Loooh....IQ 20 ni ndogo kuliko maelezo. Mtawanyiko wa IQ kwa watu hapa duniani ni kuwa 2.5% ya watu ni wapumbavu wana IQ chini ya 70, kuna 14% wapumbavu kiasi wana IQ kati ya 71 hadi 84, halafu 67% ni waelevu wana IQ kati ya 85 hadi 115, na kuna 14% ambao ni wajanja wenye kipaji cha akili wana IQ kati ya 116 hadi 129, na kuna magenius (kipaji kikubwa cha akili) wenye IQ 130 na zaidi ni 2.5%. Hivyo hiyo IQ 20 loooh, ni mbombo ngafu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona sasa kauli anazosema, yeye alisema watu watoke kufanya kazi na hakusisitiza kuchukua tahadhari, leo anasema watu wanapukutika.
 
Corona kaugonjwa kadogo nashangaa mlalia Mawe kajichimbia kantin chattle, arudi bana magogoni aje achape kazi
 
Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda akihojiwa na Clouds Tv kwenye kipindi alichokiita Kikao cha Familia Dar chenye lengo la kupanga mikakati ya kifamilia kukabiliana na COVID19, amewataka watanzania walio nje ya mkoa wa Dar kubaki huko huko kwasababu Dar hali sio shwari na watu wanapukutika sana.

View attachment 1426002
Kwa takwimu zipi? Tuache panic
 
Mbona makonda aliachana na clouds TV,radios,au ameomba msamaha kimyakimya
 

Attachments

  • yTU6xBpytrvIjsWp.mp4
    1.1 MB
Back
Top Bottom