Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

Militaka Makonda asihojiwe. Tunaopenda haki tumefurahishwa na kitendo cha Star TV kutupa habari ya upande wa pili wa shilingi. Walau sasa naweza hata kuwa na nafasi nzuri ya kumuhukumu Makonda kwamba ana makosa au hana makosa. Na hata sasa naweza kujua kama ni kweli Clouds walivamiwa au ni igizo kama yalivyo maigizo mengine. Ruge alitumia vyombo vyake akatupasha kile anachoamini ni sahihi, ni vema na haki kuwa leo tumeweza kusikia kutoka kwa Makonda kile anachoamini ni sahihi. [HASHTAG]#naturaljustice[/HASHTAG]
 
Wakuu wa forum uzi wangu hauna tatizo na mtu sijamtukana mtu na wala kumkashifu mtu.
Kwenye list ya channels zangu nimeiblock rasmi startv na sitaki hata wanangu waione,imekuwa ya pili kuwa blocked baada ya tbc.
Ni rahisi sana unawapigia provider wa king'amuzi chako unawaomba waitoa kwenye list yako.
Sababu ya msingi ni kuanza kuonyesha ukabila na ukanda ili hali watanzania ni wamoja na tunapendana ukiacha tofauti zetu za vyama.
kwanza channel yenyewe haina mvuto imeshazidiwa na tve iliyotoka juzi tu.

[HASHTAG]#Swela[/HASHTAG] umtinki wawe.
Maoni kama haya yanatafuta nini hapa? Hakuna issue ya kujadili na wengine, kwa nini unaleta thrd kama hii hapa? Unapiga kampeni nasi tuwe kama wewe? sema!

Mod. trash this rubbish.
 
Hata huku kwetu chanel zote zilitekwa ikabaki chanel moja tu Posko live
Chezea bashite wewe.
 
- hahahahahaa sasa ulijuaje kuwa ukishobokea wanaume unaishia kuliwa nkuta kama hujaliwa wewe kwanza so unatuambia kuwa ukishobokea wanaume ndivyo ulivyofanyiwa? hahahahahhaha yaani unajivua nguo mwenyewe bila kuulizwa duh! hahahaha

le Mutuz
Kubwa jinga....babu ombaomba la mjini
 
View attachment 512756


- Tizama ofisi ya RC ambayo mlisema ina mlango wa nyuma aliotumia kukimbia tume, hebu onyesha mlango ulipo mkuu!

le Mutuz
Le Mutuz we ni mtu mzima bhana, huwezi kutoa hoja za hivyo!!! Yaani kabisa unaamini mtu anaposema ofisini kwa mkuu wa mkoa anamaanisha hapo hapo kwenye chumba kinachotumika kama ofisi ya RC?!

Yaani mtu akishafika kwenye jengo la ofisi ya RC atakuwa hajafika ofisini kwa RC?

Wasome Habari Leo; gazeti la serikali wakimnukuu Balile:
Alisema walifika ofisini kwake saa tano asubuhi na kuambiwa wasubiri kwa kuwa Makonda alikuwa na ugeni wa Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene.

Alieleza kuwa ilipofika saa sita na nusu waliambiwa waingie ofisini kwake tayari kwa mahojiano na kuelekezwa kutumia njia ya kupanda ngazi, hata hivyo walipoingia ofisini kiongozi huyo hakuwepo na baadaye waliambiwa ametokea mlango wa nyuma na ameenda kwenye jengo la Machinga Complex.
Hivi kwa kauli hiyo huoni hao wajumbe walikuwa wakimsubiri somewhere ndani ya lile jengo lakini hawakuwa bump to bump to chumba kinachotumika kama ofisi ambacho wewe ndo umeweka picha yake?

Unadhani wangekuwa hapo hapo jirani na chumba cha ofisi bado wangeelekezwa njia ya kupanda ngazi?

Au unataka kusema jengo lote lile halina mlango wa nyuma?!
 
Back
Top Bottom