Makonda asiruhusiwe kuwa karibu na viongozi wakuu, aweza kujitoa muhanga

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,144
Kwa hali aliyo nayo Makonda na aandikayo inaonyesha Makonda amechanganyikiwa.

Huyu bwana anayaona ya Sabaya yanakuja mbele yake. Na kwa akili zake hayamstahili na kwamba viongozi wakuu hawamtetei wamemuacha akiwa kasahau yafuatayo;
  • Alimchapa makofi Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu Warioba kosa la aina yake duniani.
  • Alimdharau PM Majaliwa hadi akawa mnyonge mbele zake.
  • Alimfedhehesha Katibu mkuu Chongolo hadharani na kumkejeli kwa aibu kubwa.
*Mawaziri wengine kama Jafo na Dr Mpango (makamu wa Rais wa sasa) moto na kebehi za Makonda hawawezi kusahau hata kidogo.

Hiyo ndiyo sababu Wakuu wamekaa mbali naye ukiacha mengine aliyowatenda wananchi.

Hali hii ya Makonda (stress ) ni rahisi kujidhuru, na huyu kwa akili zake sio wa kunywa sumu ya panya afe au kujinyonga. Kwa kiwango cha "uharamia" alichofikia lazima atajitoa Muhanga.

Je anaweza kujitoa muhanga sokoni? La hasha ni mbele ya wakubwa anaoona wamemkwamisha.

Asiruhusiwe kuwakaribia na atafutiwe mshauri.

NI USHAURI TUU
 
Nimejiuliza kwani hawa watu wa sampuli ya Makonda walitoka wapi, nikapata jibu huko CCM waliwalea wenyewe, wao ndio chanzo cha tatizo.

Makonda alipoanza kumchapa kofi Warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya, hii maana yake ilikuwa ni kama well done, keep it up!.

Akaja kiongozi katili zaidi, ambaye kwake kuchapa kofi lilikuwa jambo dogo, ukitaka kuonekana jasiri kwake mpaka uue au uteke. Makonda tena akajiongeza kuendana na mahitaji ya kiongozi aliyekuwepo.

Kama Makonda akiwa na mpango huo wa mleta mada, kwangu ni sawa tu; wacha akawanyooshe, wao walilea tatizo wakadhani litaishia kwa wapinzani wao pekee, sasa kama tatizo hilo litarudi ndani kwao liwatafune itapendeza zaidi.

Kuwashangaa kina Makonda na kuwaacha wale viongozi waliolea uhuni wao tutakuwa hatuwatendei haki, sharti lawama anazopewa Makonda na wenzake ziunganishwe na wale waliokuwa wakiwatuma.

Naamini kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya watanzania bila kuwabagua kwa vyovyote, hawa kina Makonda wasingekuwepo kwenye taifa letu.

Leo tunapoteza muda mwingi kumchamba Makonda bila kukumbuka waliompa tabia hizo mbovu bado wapo madarakani, tunachekelea kwasababu tu hawa wa sasa ni wapiga dili, wanatutafuna kimya kimya hawatuui, hawa kwetu wana nafuu!

Tumekuwa taifa la waliokata tamaa, tumejikabidhi kwa madhalimu hatuna tena cha kufanya, wanaopigania Katiba Mpya wanakatishwa tamaa kwa kila namna na walafi wanaokula mezani na watawala, bado tupo gizani.
 
Nimejiuliza vizuri hawa watu wa sampuli ya Makonda walitoka wapi, nikapata jibu huko CCM waliwalea wenyewe.

Makonda alipoanza kumchapa kofi Warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya, hii maana yake ilikuwa ni well done keep it up!.
Uzuri JK alimpa Makonda zawadi ya ukuu wa wilaya,then JK nae akaja akapewa zawadi murua na Makonda ya Familia yake kuhusishwa na uuzaji wa madawa ya kulevya.
 
Laana ilianzia hapa.....

1649826510628.png
 
Mwache awasogelee awapunguze mkuu

Au umesahau kaul ya muasisi wa chama na nchi kuwa UPINZAI WA KWELI UTATOKA CCM

makonda tupunguzie hao kijani

Ukishamaliza SS tutajua namna ya kukumaliza huku mtaani
Makonda amesema yeye ni maji yaliyotulia , hivyo ni kina kirefu , wasipomuwahi atatoka na mmoja 😀, na Mimi nakazia atuondolee hyo safu ya juu inaboa kinoma 😀😀😀
 
Nimejiuliza kwani hawa watu wa sampuli ya Makonda walitoka wapi, nikapata jibu huko CCM waliwalea wenyewe, wao ndio chanzo cha tatizo.

Makonda alipoanza kumchapa kofi Warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya, hii maana yake ilikuwa ni kama well done, keep it up!.

Akaja kiongozi katili zaidi, ambaye kwake kuchapa kofi kulikuwa jambo dogo, ukitaka kuonekana jasiri kwake mpaka uue. Makonda tena akajiongeza kuendana na mahitaji ya kiongo aliyekuwepo.

Sasa tukitaka kumlaumu huyu Makonda na kina Sabaya, lazima pia tukumbuke kumlaumu mzazi wao [CCM] aliyewalea na kuwakuza.

Kuwashangaa kina Makonda na kuwaacha wale viongozi waliolea uhuni wao tutakuwa hatuwatendei haki, sharti lawama anazopewa Makonda na wenzake ziunganishwe na wale waliokuwa wakiwatuma.

Naamini kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya watanzania bila kuwabagua kwa vyovyote hawa kina Makonda wasingekuwepo kwenye taifa letu.

Leo tunapoteza muda mwingi kumchamba Makonda bila kukumbuka waliompa tabia hizo mbovu bado wapo madarakani, tunachekelea kwasababu tu hawa wa sasa ni wapiga dili, wanatutafuna kimya kimya hawatuui, hawa kwetu wana nafuu!

Tumekuwa taifa la waliokata tamaa, tumejikabidhi kwa madhalimu hatuna tena cha kufanya, wanaopigania Katiba Mpya wanakatishwa tamaa kwa kila namna na walafi wanaokula mezani na watawala, bado tupo gizani.
Nakumbuka enzi zile bwana mkubwa alisema hawapeleki fedha za miradi ya maendeleo kwa waliyochagua upinzani.Kama kodi wanalipa wachama kimoja vile na hakujuwa kauli ile inaleta mpasuko
 
Nimejiuliza kwani hawa watu wa sampuli ya Makonda walitoka wapi, nikapata jibu huko CCM waliwalea wenyewe, wao ndio chanzo cha tatizo.

Makonda alipoanza kumchapa kofi Warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya, hii maana yake ilikuwa ni kama well done, keep it up!.

Akaja kiongozi katili zaidi, ambaye kwake kuchapa kofi lilikuwa jambo dogo, ukitaka kuonekana jasiri kwake mpaka uue au uteke. Makonda tena akajiongeza kuendana na mahitaji ya kiongozi aliyekuwepo.

Sasa tukitaka kumlaumu huyu Makonda na kina Sabaya, lazima pia tukumbuke kumlaumu mzazi wao [CCM] aliyewalea na kuwakuza.

Kuwashangaa kina Makonda na kuwaacha wale viongozi waliolea uhuni wao tutakuwa hatuwatendei haki, sharti lawama anazopewa Makonda na wenzake ziunganishwe na wale waliokuwa wakiwatuma.

Naamini kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya watanzania bila kuwabagua kwa vyovyote, hawa kina Makonda wasingekuwepo kwenye taifa letu.

Leo tunapoteza muda mwingi kumchamba Makonda bila kukumbuka waliompa tabia hizo mbovu bado wapo madarakani, tunachekelea kwasababu tu hawa wa sasa ni wapiga dili, wanatutafuna kimya kimya hawatuui, hawa kwetu wana nafuu!

Tumekuwa taifa la waliokata tamaa, tumejikabidhi kwa madhalimu hatuna tena cha kufanya, wanaopigania Katiba Mpya wanakatishwa tamaa kwa kila namna na walafi wanaokula mezani na watawala, bado tupo gizani.
Copy to; Zitto
 
Maaskofu wako wengi tu bwashee!
Kama maaskofu wako hapo, kuna umbali gani na viongozi wengine kama kajifunga C-4 explosive?
Acheni ubishi huyo jamaa dawa ni aende jela tuu ndio atatulia na usalama wake kulindwa
 
Nimejiuliza kwani hawa watu wa sampuli ya Makonda walitoka wapi, nikapata jibu huko CCM waliwalea wenyewe, wao ndio chanzo cha tatizo.

Makonda alipoanza kumchapa kofi Warioba akapewa zawadi ya ukuu wa wilaya, hii maana yake ilikuwa ni kama well done, keep it up!.

Akaja kiongozi katili zaidi, ambaye kwake kuchapa kofi lilikuwa jambo dogo, ukitaka kuonekana jasiri kwake mpaka uue au uteke. Makonda tena akajiongeza kuendana na mahitaji ya kiongozi aliyekuwepo.

Kama Makonda akiwa na mpango huo wa mleta mada, kwangu ni sawa tu; wacha akawanyooshe, wao walilea tatizo wakadhani litaishia kwa wapinzani wao pekee, sasa kama tatizo hilo litarudi ndani kwao liwatafune itapendeza zaidi.

Kuwashangaa kina Makonda na kuwaacha wale viongozi waliolea uhuni wao tutakuwa hatuwatendei haki, sharti lawama anazopewa Makonda na wenzake ziunganishwe na wale waliokuwa wakiwatuma.

Naamini kama tungekuwa na viongozi wanaojali maslahi ya watanzania bila kuwabagua kwa vyovyote, hawa kina Makonda wasingekuwepo kwenye taifa letu.

Leo tunapoteza muda mwingi kumchamba Makonda bila kukumbuka waliompa tabia hizo mbovu bado wapo madarakani, tunachekelea kwasababu tu hawa wa sasa ni wapiga dili, wanatutafuna kimya kimya hawatuui, hawa kwetu wana nafuu!

Tumekuwa taifa la waliokata tamaa, tumejikabidhi kwa madhalimu hatuna tena cha kufanya, wanaopigania Katiba Mpya wanakatishwa tamaa kwa kila namna na walafi wanaokula mezani na watawala, bado tupo gizani.
Duh ! !!
 
Kama maaskofu wako hapo, kuna umbali gani na viongozi wengine kama kajifunga C-4 explosive?
Acheni ubishi huyo jamaa dawa ni aende jela tuu ndio atatulia na usalama wake kulindwa
Kwahiyo mtu anaweza kujifunga tu hiyo miripuko na kwenda kukaa karibu na viongozi?

Bavicha akili zenu mnazijua wenyewe kwa kweli!
 
Kwa hali aliyo nayo Makonda na aandikayo inaonyesha Makonda amechanganyikiwa.
Huyu bwana anayaona ya Sabaya yanakuja mbele yake. Na kwa akili zake hayamstahili na kwamba viongozi wakuu hawamtetei wamemuacha akiwa kasahau yafuatayo;
  • Alimchapa makofi Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu Warioba kosa la aina yake duniani.
  • Alimdharau PM Majaliwa hadi akawa mnyonge mbele zake.
  • Alimfedhehesha Katibu mkuu Chongolo hadharani na kumkejeli kwa aibu kubwa.
*Mawaziri wengine kama Jafo na Dr Mpango (makamu wa Rais wa sasa) moto na kebehi za Makonda hawawezi kusahau hata kidogo.
Hiyo ndiyo sababu Wakuu wamekaa mbali naye ukiacha mengine aliyowatenda wananchi.
Hali hii ya Makonda (stress ) ni rahisi kujidhuru, na huyu kwa akili zake sio wa kunywa sumu ya panya afe au kujinyonga. Kwa kiwango cha "uharamia" alichofikia lazima atajitoa Muhanga.
Jee anaweza kujitoa muhanga sokoni? La hasha ni mbele ya wakubwa anaoona wamemkwamisha. Asiruhusiwe kuwakaribia na atafutiwe mshauri.
NI USHAURI TUU
Yuko kwenye radar zao.. Kila anayekutana naye wanavujisha location na muda na gari anayotumia.. Hana uwezo huo tena...!
 
Back
Top Bottom