Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

Mbona mnaenda mbali wakati tukio lishatokea wakati iliwezekana kulizuia wakati MBUNGE ALIPOOMBA BUNGENI NAKUSEMA HIKO KIVUKO KITAUA...BUT MKAUCHUNA MKISUBIRI KUTOA SALAMU ZA RAMBI RAMBI
 
Thread
Dhaifu Sana Hii Kweli Tatizo Kubwa La Maafa Unaliingiza Na Siasa Ili Watu Wajadili Nini!
 
Uko sahihi mkuu. Ila hapo naona mkuu wa mkoa ana role fulani
Anyway ngoja tusubiri neno kutoka magogoni kesho.au siku yoyote
By the way issue ya kujaza kaitaka jiwe kutokulipa mishahara ya hao jamaa sasa mtu ana familia ataishije
Mkubwa huyo jiwe ndie kakubali kuwalipa mishahara hao wafanyakazi ambao ndio waliosababisha mishahara yao hisiwepo kwa kufirisi mali ya serikali
 
Britannica, CDM ndio walioleta ajajli kuipima serikali na viongozi wake uwezo wa kiutendaji ?!.
Sidhani hata kidogo !!

Watu wanalaumu kwa sababu ya uokozi wa kibishooo. Kwanza kuna mbalamwezi hilo giza litoke wapi ?! Halafu saa chache baada ya ajali ndio kuna matumaini ya uhai, na kadiri muda unavyoenda ni kifo kwa hakika. Sasa unapositisha tutegemee nini ?!

Halafu mambo ya siasa ya nini ?!. Tulitegemea ueledi ktk uokozi bila kujali gharama na siasa za show !!!!
Wakiwekeza katika miundombinu mnasema sio kipaumbele chenu
 
Mkuu hakuna aliyempamba makonda tumeongea ukweli tu
Lazima ujue huyo mkuu wa mkoa anamiliki police,zima moto,jw nk sasa ameshindwa kuwatumia kufanya uokoaji ? Giza sio sababu kuna taa na makarabai
Ameshindwa kuleta helkopta hapo zifanye patrol hata usiku
Yani angekua kiongozi makini hapo ingetakiwa majeshi yaweke kambi kama wanavofanyaga nchi zingine
Afu hako ka kivuko nimeona picha zake ni kadogo mno hakawezi kuwashinda wangekua makini
Sasa nikupe tu taarifa
1.hakuna idadi kamili ya abiria (inakisiwa zaidi ya 200)
2.kesho maiti zitakua zimesombwa na mawimbi huko so itakua vigumu kuwapata
Mark my words mkuu.hapo kuna maiti zitaozea ziwani hazitopatikana na zingine zitakuja kuokotwa hata baada ya mwezi huku serikali ikiwa imesha conclude imeokoa wote
Kwahiyo Mkuu kwa akili zaako kabisa unadhani Bwana Mongella alikaa akajiamulia mwenyewe kwamba zoezi lisitishwe
 
Mkuu hakuna aliyempamba makonda tumeongea ukweli tu
Lazima ujue huyo mkuu wa mkoa anamiliki police,zima moto,jw nk sasa ameshindwa kuwatumia kufanya uokoaji ? Giza sio sababu kuna taa na makarabai
Ameshindwa kuleta helkopta hapo zifanye patrol hata usiku
Yani angekua kiongozi makini hapo ingetakiwa majeshi yaweke kambi kama wanavofanyaga nchi zingine
Afu hako ka kivuko nimeona picha zake ni kadogo mno hakawezi kuwashinda wangekua makini
Sasa nikupe tu taarifa
1.hakuna idadi kamili ya abiria (inakisiwa zaidi ya 200)
2.kesho maiti zitakua zimesombwa na mawimbi huko so itakua vigumu kuwapata
Mark my words mkuu.hapo kuna maiti zitaozea ziwani hazitopatikana na zingine zitakuja kuokotwa hata baada ya mwezi huku serikali ikiwa imesha conclude imeokoa wote
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, kamati ya ulinzi na usalama, na kamati ya maafa kwa mkoa huo wameshindwa kazi.

Ilikuwa inawezekana kabisa kuendelea na kazi ya uokoaji usiku.
 
Naunga mkono hoja Makonda ni kiongozi kiherehere asiyependa kushindwa pia ni mbunifu hata kama ni mpenda sifa
 
Msimlaumu mkuu wa mkoa wa mwanza, ametii maelekezo aliopewa na wakubwa zake. Tuna helicopter za jeshi au za polisi, zingeweza kukimbiza taa zenye mwanga mkali kutoka Dar mpaka mwanza kabla giza halijaingia. Ikumbukwe meli imezama saa saba mchana. Au mpaka kila yanapotokea majanga tuwe tunaomba helicopter kutoka nchi jirani?
Nawashangaa saana wanofikiri eti Mkuu wa Mkoa kajiamulia mwenyewe
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Saa nyingine msiwe mnawaza ujinga Kiki kwenye kuokoa maisha ya watu, majanga ya kitaifa hua hayapekwi kwenye siasa acha kua na akili potofu kwenye majanga Kama lazima Kama taifa tuwe pamoja na so kuonyesha utofauti wa vyama. Sema huyo mkuu wa mkoa wenu huko mwanza kaboa
, Ila sijajua hapa chadema wameingiaje, kwa akili hizi nchi yet Bado inasafar ndefu sana
 
Ondoa uwongo wako hapa walahi!
Mbona Philippines ilichukua more than a week kukomboa wale watoto?
Mpaka dunia yote ilivyo jiunga kuwakomboa!
Na pia muokoaji mmoja akafa!
Tusiwe mijitu ya kulalamika tu katika kila jambo!
Mnabaki jangwani milele walahi
Ni Thailand
 
Leo mkuu wa mkoa wa mwanza amesitisha uokoaji kutokana na giza kuingia, na kusema zoezi litaendelea kesho,
Maoni ya watu hawakupenda kwamba serikali inashindwaje kuendelea kuokoa usiku kucha,

Nikawaza Makonda kama ndo angekuwa mkuu wa mkoa wa mwanza, angeokoa usiku kucha alafu CHADEMA hao hao wangesema ni kiki,

Nawashangaa sana CHADEMA
Duuuuu kiki kweny kuokoa ? Au ww ndo makonda? Sasa ww unatengeneza tukio na hapo hapo unawalisha cdm maneno ambayo wangetamka baada ya ilo tukio lako la "imagination event" umepewa buku saba au bado?
 
Huyo wa dar angetumia vifaa gani?nchi haina vipaumbele vya maana zaidi ya kununua watu kumaliza hela kwenye chaguzi zisizo na maana,ulivyoongea utadhani huyo mkuu wa mkoa anafanya kazi peke yake
 
Binafsi nilishangazwa sana na Hili Swala tunajeshi la majini nilitegemea uokozi ufanyike mpaka asubuhi, Huyo mkuu wa mkoa alipataje usingizi? Mtu ana direct line na C in C ameshindwa nini ku request wana Maji kufika apo na akakesha nao Usiku wote
 
nikweli bashite angewaokoa kwakuwa anayo mafunzo maalum ya kuogelea gizani...chezea bashite wewe!.
 
Maana mnaijua alichomaanisha huyo ndugu kwamba Chagadema hua hawakosi cha kuongea,jambo hata lije vipi wataanza kulifanyia siasa zao za kipuuzi
Duuu hiv suala kama ili mnaketa ujinga wenu kwel wa kisiasa? Hao chadema au usisimu sa hiv unawasaidia nn walio poteza ndugu zao na wapo na klio? Nyie kla SKU mna amka na chadema tuu? Hat ka ndo mnaingza SKU kwa kuisema ila wakat mwingne hasa seriously tuache ujinga kabsa
 
Back
Top Bottom