Makonda anatamba Kwamba anakula Raha huku watu wake wanaumia na mafuriko

Kila zama na watu wake, hata huko nyuma walikuwepo na watakuwepo human species kama huyu.
 
Awauliza kina sadam Hussein .gadafi ' Patrice lumumba na kina Valentine stresser " maisha Yakoje !?

Maana sidhani kama aliwahi kula bata kama wao -- lakini hakuna mtu timamu asiyejua kilicho wakuta
 
Awauliza kina sadam Hussein .gadafi ' Patrice lumumba na kina Valentine stresser " maisha Yakoje !?

Maana sidhani kama aliwahi kula bata kama wao -- lakini hakuna mtu timamu asiyejua kilicho wakuta
Kumbe kula bata ni noma !?
 
Nimeuliza, maana hao wengine uliowataja wamepata majanga kwa kula bata !
Ohh --sikuwa na mantiki hiyo --- but nilitaka atambue kuwa unapo pata nafasi kama hiyo huna sababu ya kuanza kujisifu na kujikweza kiasi hicho ---

No 1 knows kesho itakavyo kuwa
 
Ila wamama hawa ni wanaa sasa ameen tena imekujaje....makonda ana inferiority complex ..period
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom