herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Wengi wanaamini kuwa wanaomshushia tuhuma Bwana Makonda ni wauza unga. Ni ishu inayohitaji uchunguzi na process kidogo kwa kuhusisha vyombo husika.
Tuhuma za utajiri Wa ghafla wa Makonda pia zinahitaji uchunguzi pia kwa kuhusisha vyombo husika kama sekretariati
ya maadili, PCCB n.k
Tuhuma za kutumia majina ya MTU au cheti cha MTU zinaweza kumalizwa kwa dakika moja tu. Nakumbuka wakati Rais ameteua wakurugenzi kuna tetesi zilizuka kuwa ameteua meneja Wa hotel moja iliyopo Sinza kuwa mkurugenzi. Rais alimwambia yule Mteule wake aonyeshe cheti na waandish Wa habari wakipige picha. Akaonyesha, mchezo ukaisha.
Kwanini Makonda anaogopa kuonyesha cheti chake. Sawa hata bila kyonyesha cheti, anaogopa hata kusema alisoma shule gani na alimaliza mwaka gani (ila chuo anakitaja vizuri sana).
Hili ni suala dogo sana, matokeo yake watumishi Wa NECTA wanasumbuliwa, waziri anasumbuliwa, wakati ilikuwa ni ishu kuacha maneno (mwnyew anapenda kutumia neno mbwembwe) kuweka cheti, BASI. Kwanini anazunguka??? Kama watu wanakuzushia kisa wanahusika na madawa ya kulevya, wakate ngebe kwa kuonyesha cheti. Tena kitokee kwenye front pages za magazeti tuone watasema nini kingine, danadana za nini???
Lakini kuna Hawa wanaomtetea kuhusu kufoji cheti. Moja kwa moja Hawa pia ni dhahiri, wanatumia vyeti vya watu. Wanaogopa vuguvugu likianza wao pia wataambiwa waonyeshe vyeti. Maofisini kwetu kuna watu wengi tunawazoea kwa majina wanayotumia ofisini ila ndugu zao wakija kuwaulizia au wakipiga simu ya ofisi wanatumia majina ambayo hatuyajui kabisa. Yani unatoka unazunguka ofisi kumtafuta MTU aliye meza ya pembeni yako. Hii ishu ya Daudi imenipa majibu.