Makonda amponda Tundu Lissu, adai bado anaumwa hivyo yawezekana akili yake haifanyi kazi sawa sawa

Unafikiria yameisha..Lissu lazima afungue kesi..ila akifa mabeberu yatamvalia njuga
Kwa mujibu wa ibara ya 46 ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 "inasema kwamba Rais akiwa madarakani hawezi kushitakiwa kwa makosa ya jinai wala madai kuhusiana na jambo lolote ambalo Rais alilifanya ama kabla ya kushika kiti cha urais au baada."

Hii ni moja ya sababu inayofanya wachambuzi wengi wa siasa kupata hisia ya kua itamsukuma mh. rais wetu kufanya kila liwezekanalo kuongeza mda wa utawala, zaidi ya 2025. Na najua unajua kua hiyo haitakua mara ya kwanza kitu kama hicho kutokea katika nchi zetu hizi za kiafrika

the Legend☆
 
Nimejikuta najiuliza hili swali na sipati majibu kabisa

Tanzania tuna wakuu wa mikoa zaidi ya 30 na Tanzania bara zaidi ya 20 kwa nini awe makonda anamkabili Lisu

Na isitoshe Lisu ni mbunge wa mkoa wa Singida kwa nini mkuu wa mkoa huo asimkabili Lisu anakuwa Makonda?

Je serikali ya Magufuli imempa jukumu hilo?

Tangu juzi kupitia mitandaoni na leo kwenye mikutano yao ya madini Makonda vs Lisu

Wananchi tumeanza kupata picha juu ya yale yaliyowahi kusemwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Great mind, great thinker, good and beautiful baby with a great mind in the head. Binafsi ningekua karibu na kondakta ningemshauri kuufunga mdomo wake but anyway, damu ya mtu mbaya sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom