Makonda ampa darasa Zuhura Yunus wa BBC kuhusu sheria ya ndoa ya Tanzania

Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.

RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia
fanya citation ya hicho kifungu cha sheria hapa.
 
Nchi hii inaweza tawaliwa hata na mataahira. Nchi hii hata "mbwa" anaweza kuongoza akichaguliwa, nchi hii hata "mavi" yanaweza kuongoza, tulivyo sisi watanzania yakichaguliwa au kuteuliwa.... najua utachukia ngoja niseme ninaloliona kwa sasa!
 
Hivi si kunaa watu wameoa huko Mikoani na familia zao zipo mikoani ila wanakuja dsm kufanya kazi au biashara watu kama hao atawasajili kwa misingi ipi na vigezo gani, mtu ameoa Mwanza huko akifika dsm akiulizwa anasema sina mke.
Vipi kuhusu waislamu wanaoa mke zaidi ya mmoja utajua vipi kama ana nia ya kuongeza mke mwingine so akiwa na mwanamke mwingine anayetaka amuongeze awe mke wa pili halafu mbele ya safari akaona tabia zake azifahi akamuacha akatafuta mwanamke mwingine akamuoa kama mke wa pili utasema vipi mtu huyo ni mlaghai.
Kimsingi huyu jamaa anahoja zaifu sana haziwezi kutekelezeka especially katika ngazi yake ya u RC
 
Sasa wewe kwa akili zako unadhani Hilo la database linafanikiwa?? Labda kama hujui ni kuwa wanawake wengi wanapenda kuwa na mahusiano na wanaume waliooa, hasa wadogo kuanzia wanafunzi wa sekondari hadi vyuo, na mkitaka muwakataze ndo mtawafanya wawe wanajiuza mitaani bora watulie na waume za watu taatiiiibu.
Aisee
DAB aache warembo watambe na waume za watu
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.

RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia

It is totally misleading.
Alichopatia ni Chapter Number sheria ya ndoa ni Cap 29 vingine vyote ni misleading.
VIFUNGU ALIVYOTAJA
1. Kifungu cha 60 cha sheria ya ndoa kinahusu pressumption as to property
2. kifungu cha 70 cha sheria ya ndoa kinaongelea limitation of action for breach of promise
3. kifungu cha 71 cha sheria ya Right to return gifts

AINA ZA NDOA: kifungu cha 10

kifungu cha kumi kintoa aina mbili za ndoa
ndoa ya mke mmoja (monogamous)
ndoa ya mke zaidi ya mmoja au inayoweza kuwa ya mtu mmoja (poligamus or potentially poligamous)

JINSI YA KUFUNGISHA NDOA: kifungu cha 25

Ndoa inaweza kufungwa kwa njia tatu
kiserikali, ndoa ya Bomani(Civic)
kama wanandoa wanaamini dini fulani basi itafungwa kutokana na dini yao wanayoamini
Kiislamu kama wanandoa wote watakuwa wanaamini dini ya kiislamu
kimila kama wanatandoa watakuwa wanatoka kwenye jamii inayofuata mila hizo,

Toka sheria ya ndoa ilivyopitishwa kuna msajili wa ndoa chini ya kifungi cha 3 cha sheria ya ndoa ya kazi yake kutokana na sheria ambaye kazi yake ni kusajili ndoa na talaka. sasa anachotaka kufanya yeye sijui ni kitu gani????

Depends on who is running against him.

I could sit it out as well....
Hahaha, unanikumbusha interview ya Kanye na Letterman katika "My Next Guest Needs No Introduction".

Kanye alibwata sana mambo ya MAGA, Letterman aka assume jamaa atakuwa ka vote Trump.

Come to find out jamaa maneno mengi lakini hajapiga kura!
 
I could vote for you if you toss your hat in the ring [even with zero political experience].

But if the choice is binary: Magufuli vs Membe.

My vote is a no-brainer.

Magufuli all day everyday and twice on Sunday.
 
Hahaha, the country is not ready for me, even though I was walking the corridors of Ikulu from the days of being inside my mothers womb.When Miss Wicken (RIP) used to lunch on half an apple and two slices of bread sandwich, despite all the Ikulu culinary opulence.

I have seen so much of that systemic Malthusian malfeasance to have any appetite for the helm.

From how budgets are cooked, to how CEOs of public companies are milked for election money.

So I am condemned to be led by my inferiors.
 
Kama Mwanamke Mke ametembea na Mwanaume kwa muda mrefu akashindwa kujua kama ameoa, either she is denial or she must be very very dumb!!
 
It is totally misleading.
Alichopatia ni Chapter Number sheria ya ndoa ni Cap 29 vingine vyote ni misleading.
VIFUNGU ALIVYOTAJA
1. Kifungu cha 60 cha sheria ya ndoa kinahusu pressumption as to property
2. kifungu cha 70 cha sheria ya ndoa kinaongelea limitation of action for breach of promise
3. kifungu cha 71 cha sheria ya Right to return gifts

AINA ZA NDOA: kifungu cha 10
kifungu cha kumi kintoa aina mbili za ndoa
ndoa ya mke mmoja (monogamous)
ndoa ya mke zaidi ya mmoja au inayoweza kuwa ya mtu mmoja (poligamus or potentially poligamous)

JINSI YA KUFUNGISHA NDOA: kifungu cha 25
Ndoa inaweza kufungwa kwa njia tatu
kiserikali, ndoa ya Bomani(Civic)
kama wanandoa wanaamini dini fulani basi itafungwa kutokana na dini yao wanayoamini
Kiislamu kama wanandoa wote watakuwa wanaamini dini ya kiislamu
kimila kama wanatandoa watakuwa wanatoka kwenye jamii inayofuata mila hizo,

Toka sheria ya ndoa ilivyopitishwa kuna msajili wa ndoa chini ya kifungi cha 3 cha sheria ya ndoa ya kazi yake kutokana na sheria ambaye kazi yake ni kusajili ndoa na talaka. sasa anachotaka kufanya yeye sijui ni kitu gani????

Mods naomba mnipandishie hii clip na comment pale juu tafadhali kwa ajili ya uelewa zaidi!
 
Back
Top Bottom