Makonda ampa darasa Zuhura Yunus wa BBC kuhusu sheria ya ndoa ya Tanzania

Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli was BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali was kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hill.

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au no ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hill no kwa mujibu was sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia

Kama Mkuu wa Mkoa anakuja na Hoja ya Kipumbavu na Kitoto kama hii mbele ya Watu wenye Akili, je Wajumbe wa Nyumba Kumi na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wao watakuja na Hoja gani? Ndiyo maana miaka ya nyuma huko Marais wote waliopita katika nchi hii Teuzi zao hasa katika nafasi aliyonayo Makonda ( ya Ukuu wa Mkoa ) walikuwa pia wanaangalia sana Kigezo cha Umri ( kuwa mkubwa kidogo ) na Ukomavu wa Kiakili ila nasikitika kwa awamu hii ya Tano Teuzi zake nyingi zimekaa Kiupuuzi na Mifano halisi ya Upuuzi ndiyo kama hii tunayoiona hasa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda.
 
BBC hawana credibility kabisa. It's a mouthpiece for liberalism. Hawana jema wanaloliongea kuhusu Afrika. Kumbukeni ile kampeni waliyoifanya dhidi ya Mugabe. Halafu wakamgeukia Rais Kagame na ile documentary ya kipuuzi kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Tutsi. Despicable this organization is. Safi sana Mheshimiwa Makonda kumnyoosha huyu dada wa BBC. Kwa awamu hii wamekwama.
 
Wanaume wa dar na mkuu wenu wa mkoa!
Makonda akajifunze hapo kisarawe kwa DC Jokate angalau mbinu muhimu chache za kuleta maendeleo na sio kukomaa na maswala yasiyo na tija.

Kati ya Ma-RC vilaza huyu kapitiliza!! Dar haijatendewa haki kuwa na RC kilaza hivi!!
 
The BBC is a Jurassic institution in my mind.

However, that doesn’t make Makonda any better.

He is the worst of all!
 
Kaulizwa maswali na Zuhura kashindwa kujieleza, kaulizwa ni sheria ipi inaingilia faragha? Yy kaanza kujibu vitu ambavyo havipo. Halafu anasema ni malalamiko ya wananchi na wakati wananchi wenyewe wanamshangaa.

Pia kaulizwa ni sheria ipi inasema majina yachapishwe, yy kaanza maelezo na mikanganyiko kibao. Na hakuna sheria yoyote inayoingilia mambo binafsi ya mtu na kuthibitisha mahakamani umedanganywa ni ngumu.

Poa amejibu kinyume na sheria kuwa kuna ndoa za aina 3 yaani ya Kikristu, Kiislam na ya bomani. Wakati Tanzania tuna ndoa za aina 3 yaani

1. Kidini
2. Kiserikali
3. Kimila

Ndoa za kimila zinatambulika kikatiba na kisheria lakini yy hazitambui

Bahati mbaya na wewe umekosea.Ndoa ni ya aina mbili kwa mujibu wa sheria za Tanzania.Ndoa ya mitala na ya mke mmoja.
Hizo ulizozitaja ni namna ndoa zinavyofungwa au ni mitindo ya ndoa.
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli was BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali was kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hill.

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au no ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hill no kwa mujibu was sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia

Sasa wewe kwa akili zako unadhani Hilo la database linafanikiwa?? Labda kama hujui ni kuwa wanawake wengi wanapenda kuwa na mahusiano na wanaume waliooa, hasa wadogo kuanzia wanafunzi wa sekondari hadi vyuo, na mkitaka muwakataze ndo mtawafanya wawe wanajiuza mitaani bora watulie na waume za watu taatiiiibu.
 
Bashite anaonyesha jinsi gani viongozi wa awamu hii walivyo wajinga, wapo wengi tu. Akina mnyeto sijui, mbeya nako vilevile, iringa.
Uelevu na busara ya viongozi wa awamu hii ni ziro ndiyo maana mkuu anahangaika pekee yake wao kupongeza tu.
Ukija polisi ndiyo balaa kabisa ni kuzuia cdm pekee na kuonea watu na kubambika kesi kumezuka mtindo cdm wakiwa na kikao tu basi lazima wazuiwe na tena polisi wenye jukumu la kuwalinda.
 
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli was BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali was kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hill.

Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au no ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hill no kwa mujibu was sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.

Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza

Source BBC Dira ya Dunia
Nia ya RC Makonda ni njema sana lakini ni jambo ambalo yeye kama yeye hana mamlaka kili impliment. Bunge lina mandate kuruhusu kitu kama hicho kutokea. Binafsi sipendi privacy za mtu binafsi ziwe published hivyo.
 
Wanaume wa dar na mkuu wenu wa mkoa!
Makonda akajifunze hapo kisarawe kwa DC Jokate angalau mbinu muhimu chache za kuleta maendeleo na sio kukomaa na maswala yasiyo na tija.

Kati ya Ma-RC vilaza huyu kapitiliza!! Dar haijatendewa haki kuwa na RC kilaza hivi!!
Jokate yuko vizuri sana
 
The main issue here is to protect vulnerable girls and women from being cheated. What about empowering those people to be independent even if cheating does happen but they can still stand up and run their lives by themselves.

Simply get married for love but you are financially independent.
 
BBC hawana credibility kabisa. It's a mouthpiece for liberalism. Hawana jema wanaloliongea kuhusu Afrika. Kumbukeni ile kampeni waliyoifanya dhidi ya Mugabe. Halafu wakamgeukia Rais Kagame na ile documentary ya kipuuzi kuhusu mauaji ya kimbari dhidi ya Tutsi. Despicable this organization is. Safi sana Mheshimiwa Makonda kumnyoosha huyu dada wa BBC. Kwa awamu hii wamekwama.
Huu ndio upumbavu wa waafrika
 
On the contrary Makonda talks sense but he just doesnt walk the talk.

Marriage registration is a basic legal requirement as for birth or death registration. As to whether the database should be readily available for all to see, thats another matter which needs proper and thorough consultation!
So what? Is it his job to register marriages? What his office does is to issue marriage certificates ONLY. But isn't what he and unfortunately you also, are talking about is the responsibility of NIDA?
I thought he National Bureau of Statistics is by law the sole body vested with the collection, analysis and dissemination of statistics in bongoland. How come and on what basis does this guy talk about establishing his own regional body instead of NIDA or NBS whatever?
 
Naona hadi dakila hii hakuna kifungu cha sheria hio ya ndoa kilichotajwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom