johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,578
- 141,381
Mjadala ulikuwa mzuri sana kati ya mtangazaji nguli wa BBC na RC Makonda mada ikiwa uhalali wa kuchapisha majina ya waume za watu kwenye tovuti ya Serikali.
RC Makonda amesema Mara baada ya kumalizika mkutano was SADC patafanyanyika mjadala mpana jijini DSM kuhusiana na agizo hili
Zuhura alitaka kujua kama maagizo ya Makonda yako kwa mujibu was sheria au ni ubunifu binafsi, RC Makonda amemuelimisha kuwa agizo hili ni kwa mujibu wa sheria ya ndoa iliyopitishwa na bunge kisha akamsomea vifungu kadhaa kiutaalam kabisa.
Nitauweka hapa huo mjadala nikiweza
Source BBC Dira ya Dunia