Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Ili mwalimu wa Kinondoni asafiri bure anatakiwa kuwa kituo cha Daladala kuanzia saa 11.30 hadi saa2.00 asubuhi na saa 9.00 alasiri hadi saa 11.00 jioni. Muda wa wafanyakazi wa Serikali kumaliza kazi ni saa 9.30 alasiri, je kumwambia Mwalimu ili asafiri bure wakati wa kutoka kazini atatakiwa kuwepo kituo cha daladala kuanzia saa 9.00 alasiri, inamaana utoro kazini umeidhinishwa?