Makonda amekagua Gwaride kelele kibao ,inaonyesha watu wapo obsessed sana na Makonda

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Meck Sadiq akikagua gwaride Kilimanjaro

55e2af7b566bdc0aaf61c55aa790cdb1.jpg

RC Malongo akikagua gwaride Arusha

5cfa429e2daed73bfb827a5d1802f643.jpg

Mkuu wa mkoa wa Singida akikagua gwaride

056290e022ea4001a82a8cbecfca8fae.jpg

@[HASHTAG]#Mimi[/HASHTAG] sio team makonda ila tuache kuwa obsessed sana na chuki kwa kila jambo ,kwahili suala la kukagua gwaride nimegundua watu wengi wapo obsessed sana na Makonda ...RC wote wanafanya hivi lkn hakuna kelele zilizopigwa ila Makonda ndani ya muda mfupi mitandao imeanza kupiga kelele

Jamani tusomeni Katiba ipo siku Jaji mkuu Ibrahim atakagua gwaride na watu watakuja kupiga makelele humu
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bshite??
Kwakuwa cheo chake bado ni RC basi yote yaliyo chini yake atayafanya kulingana na utaratibu wa cheo chake

Kwahio Mahita alivyokuwa na tuhuma ya matukio mbalimbali ,polisi wasingetoa salute kwake ?

As long ni RC yote atayafanya mpk pale atakapoacha kazi
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
mpelekeni mahakamani mkiwa na ushahidi hamtaki sijui yule meya wenu wa ubungo aliishiaga wapi kumpeleka kamati ya maadili sijui.

kama hamumuwezi mmeze mate tuu mtulie kuliko kulialia mitandaoni bila hata ya hatua yoyote kuchukua.
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
Acha cheap politics wewe

Kama una ushahidi mpeleke mahakamani

Tuhuma ni tuhuma tu, ili ithibitike una hatia mpaka mahakama itamke, mengine achana nayo.

Kumbuka tu Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Hata kama hupendi vumilia tu, sio kwamba hata mimi napenda tuhuma zake hapana ila hakuna namna.
 
kwanini uwe na tuhuma zote hizo??

mnadhani watanzania wote ni walimbukeni kiasi hichi?
 
Makonda tatzo anapenda kujitanuaa na kujifanya yeye na jeipiemu wake ndo wenye hati Maliki na TZ...na kibaya zaidi Kati ya watu mil50 wao wawili ndo wanajifanya wanauchungu na nchi yetu....
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
Ulitaka mme wako ndo akague. Kisa mwanamke mwenzio mange anaongea mambo asiyoyajua basi na ww unawashwa mwili mzima. Ndo maana kumbe mnaachika mapema
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
Hivi Huoni aibu mwanaume mzima kuwa mzushi kwa mwanaume mwenzako?
 
Kwani bashite ndio ataendelea na ukuu wa mkoa milele mwisho upo tu mi najua
 
tutolee huo uchuro,

hao wakuu wengine wa mikoa ni watuhumiwa wamatukio ya uhalifu kama Bashite??

1.Bashite mtuhumiwa wa wizi wa simu kwenye bunge la katiba
2.Bashite mtuhumiwa wa kumvamia na kumpiga Jaji Warioba
3.Bashite mtuhumiwa wa kufoji cheti cha form 4 na kuapa kwa jina feki mbele ya rais
4.Bashite mtuhumiwa wa kuvamia Clouds Media kwa mtutu wa bunduki
5.Bashite mtuhumiwa wa ku-blackmail wahindi kwa kuwabambikia kesi za madawa ili kujipatia pesa na magari
6.Bashite mtuhumiwa wa kumteka na kummaliza Ben Saanane
7.Bashite mtuhumiwa wa kumteka Roma Mkatoliki na kumuachia jumapili kama alivyoahidi
8.Bashite mtuhumiwa wa tukio la SMG dhidi ya Tundu Lissu.

Yani mtuhumiwa wa matukio yote haya anakagua gwaride???
Mtuhumiwa tu mpka leo
Lini atathibishwa kuwa hayo yote !!!
Ili funge huu mjadala wake
 
kwanini uwe na tuhuma zote hizo??

mnadhani watanzania wote ni walimbukeni kiasi hichi?
Kua na tuhuma sio tatizo, unadhani kuna Kiongozi asiyekua na tuhuma?
Saivi tunamsifia Kikwete lakini unakumbuka tuhuma alizotupiwa kipindi yuko madarakani?

Sema nani asiyekua na tuhuma sasa?

Uwe mtu huru, sio uwe wa Chadema wala CCM.
Kiongozi yeyote akifanya vema ntampongeza awe chadema awe CCM au CUF sina bifu wala sishabikii mtu wala chama.

Kuna mijitu iko CCM ni mipuuzi hata Makonda hafikii nusu ya upuuzi wao.

Sasa ukiangalia Makonda na Ndugai nani hafai?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom