Makonda alikataa kuomba msamaha tukio la kuvamia clouds kwasababu “upande wake haukusikilizwa”, Sasa ni wakati wa kusema!

Mbona Hilo swali jibu!?
Maana sababu ukiangalia hii video utaona. Okay, kama hujaelewa mpaka Leo.
Sababu ilikuwa hivii! Jamaa ametengeneza fakes videos iliyokuwa ikimuonyesha Mama mmoja ambaye amechoka akiwa na mtoto mdogo. Ambaye alisema kuwa Mtoto Huyo ni wa Mch Gwajima wa kanisa la ufufuo na Uzima.
Kumbuka kuwa wakati huo bashite na Mch Gwajima walikuwa na beef kubwa saana hasa jamaa na Kiki yake ya dawa za kulevya alipowataja watu wasiohusika huku akiwalinda wahusika.
Nafikiri niishie hapo, Kwa kukuongezea kidogo ni kwamba kipindi hicho bwana libashite alikuwa rafiki mkubwa wa Boss Ruge Mutahaba R I P .
Jamaa alikuwa anaingia pale clouds muda na wakati wowote maana alipewa Hadi meza ya kufanya Mambo yake kule juu yaani alipewa office kabisa..
Sasa ile video's yake fake ilianza kuvuja siku moja kabla ya kipindi.
Hivyo kina Soud waliona wasiicheze.
Jamaa alikuwa anapiga cm kila saa studio kuwaambia mbona hawachezi videos zake!? Kumbuka wakati huo flash yenye fake alishawapa tokea Jana yake jioni. Hivyo kila akiuliza anaambiwa subiri tunamalizia tangazo tunaweka, wakati huo yeye yupo anafatiria kipindi sijui akiwa wapi!
Sasa mwishoni akaona zimebaki dakka 5 na video yake ya kumdharirisha Mtumishi wa Mungu inakama dk15.
Hapo ndo alipoamua kufanya uhaini alioufanya.
Ni kwanini makonda alivamia redio clouds?
Alafu mbona swali hili unalikwepaga sana nkikuliza

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At neutral ground Ukimsikikiza Ruge alivyokuwa akihojiwa na watu wake akina Kipanya na jinsi makonda alivyohojiwa na Star Tv utajua tu Ruge alikuwa anadanganya.

Ruge aliulizwa swali ni nani alieitoa video akajibu hajui. Kwa sababu kila staff ana access kwenye cpanel ya cctv ya jengo. Security wise hiki ni kitu ambacho hakiwezekani.

Akaulizwa kwenye mitandao ni haka ka clip ndio kanapatikana. Je ipo full video ya event? Akalikwepa swali kwamba lisizungumziwe hilo. Maanake nini, je imefutwa au alikuwa anaficha nini?

Wamevamiwa je ukivamiwa unasubiri alokuvamia aombe msamaha au unatakiwa kumripoti sehemu husika!? Je kwa sababu hakurudi kuuomba msamaha ndio mtu wako usiemjua asambaze ujumbe kuwa ulivyamiwa na flani!?

Zipo walakini nyingi kwenye mahojiano ya Ruge na 360. Lakini kwa vile watu tulishakuwa kinyume na Makonda hakika lazima tungeamini drama nzima ilofanyika.

Ruge hakufanya drama yeyote mkuu.
Afu clouds ni kama family... Sema watu hawajui, ila ukiwauliza wafanyakazi wa clouds wanavyofanya kazi zao utajua ni family kabisa hivyo alivyojibu kila mfanyakazi anaacces ya kuingia kwenye cctv ni kweli tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajamvi, Hii nchi yetu mambo yake ni kama tamthiliya!

Baada ya kufuatilia kuhusu maisha ya Ruge kutokana na tetesi kuhusiana na kifo chake, pamoja na wale wanaosemekana kuwa “maadui wake”, baada ya Makonda kudai “ana subiri Mungu amwambie cha kusema” kuhusu msiba wa Ruge, niliona nipitie nyuma kuhusu haswa msingi wa ugomvi wao!

Baada ya lile tukio la Makonda kuvamia studios za clouds akiwa na walinzi wa ikulu wakiwa na silaha, jambo lile lilikuwa la kushtusha sana! Kwani nchi zilizopinduliwa, ndiyo huwa vyombo vya habari vinavamiwa na kutangaza “a new order”

Baada ya vutanikivute baina yao, kwakweli Makonda alionyesha kiburi sana. Nilimuelewa Ruge aliposema yeye kama Ruge hana shida na Makonda. Lakini kwasababu yeye ni mkurugenzi wa taasisi hiyo kubwa ya habari nchini, basi alikuwa anawajibika kwa watu wengi na kamwe haikuwa issue ambayo ni personal! Ila Makonda alichukulia personal kwa kila hali!

Kwanza alikataa mapendekezo ya kuomba radhi! Ambapo aliapa kamwe hatoomba radhi hata iweje! Na kwamba sababu ni upande wa pili ambao ni upande wake yeye mvamizi haukusikilizwa! Ndipo nikajiuliza yeye upande wake alikuwa na kipi cha kujitetea? Tena ushahidi wa videos ukiwepo? Kwangu ninaamini Makonda aliongozwa na kiburi! Kwenye ile video clip ambapo TEF walimuita Ruge na Makonda, ambapo Makonda aliweka wazi kabisa kuwa hakutaka Ruge awepo! Alimwambia karibu wa TEF kuwa “hataki kumuona Ruge”, yani hata siyo kusema “hataki kukutana naye”, bali hataki kumuona! Nilishangazwa sana na maneno yale yaliyojaa chuki ya kutisha na kuogofya! Na hilo ni baada ya “kupatanishwa” na rais kule Tanga! Kumbe bado aliondoka na bifu kali kabisa!

Makonda kwenye hiyo press conference baada ya kupatanishwa kule Tanga, alisema kamwe hawezi kuomba msamaha! Na kwamba upande wake haukusikilizwa!

Sasa kwanini Makonda hakupewa hiyo nafasi ya kusema huo upande wake? Sijui kwanini watu hawakuuliza ili tuweze kusikia utetezi wake wa kuvamia studio za clouds usiku? Na kisa ikisemekana kuwa ni kipindi ambacho alitaka kirushwe hewani,ambapo kulikuwepo na tuhuma kuhusu Gwajima kuzaa mtoto wa nje! Kipindi hicho ni wakati ule ambapo rais Maghufuli mwenyewe alisema “I wish I could be IGP, baada ya polisi kuwatizama, pamoja na mengine, wanakwaya wa kanisa la Gwajima wakiimba nje ya kituo cha polisi. Je rais hafahamu kuwa hapo ni sawa na kuzungumza kwa codes?

Wale wakuu wa mafioso ndiyo huzungumza kwa codes! Wanasema jambo kwa kuchukizwa, na anayetajwa ole wake! Hata Trump wa Marekani anashutumiwa kwa jambo hili! Mwanasheria wake na fixer wake ambaye amehukumiwa jela kwa kuidanganya Congress ili kumkinga Trump na kashfa ya kutembea na porn star! ushahidi wa Michael Cohen kwenye Congress alisema hilo! Ni sawa na ile kauli ya rais kuhusu Lissu kuwa msaliti wakati tuko vitani! Kilichofuatia tunafahamu!

Sasa Makonda utetezi wake ni upi huo? Utetezi unaompa kiburi hadi anashindwa kuomba msamaha kwa kosa lilo dhahiri kabisa?! Nina amini kuna siku inakuja haya maswali yatahitaji majibu!

Sishangazwi na yeye kukosa la kusema kwenye msiba wa Ruge. Anasubiri aambiwe na Mungu! Huyo Mungu wake asiye na masamaha? Mwenye kiburi kile wanaita cha uzima?

Makonda upande wako wa pili uliosababisha ukakataa kumuomba msamaha Ruge na clouds ni upi huo?

hii kashfa ataijutia misha yake yote hadi kuzimuni....alienda na masnipers kabisa, his heart was to kill if possible.
 
Recheck timing ya matukio bosi.

TEF ile press yao ilikuwa baada au kabla ya jamaa kukutanishwa Tanga?

Pia, I wish I could be IGP nakumbuka ni kwa manji na wapambe wake waliokuwa wanaosha gari (sina kumbukumbu nzuri).
Afadhali umekiri huna kumbukumbu nzuri, kama ni Manji kwa nini Jiwe alisema kwani wewe IGP ulitaka kuimbiwa mapambio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Video hiyo hapo juu. Press ya TEF ilikuwa baada ya kupatanishwa na rais kule Tanga! Labda kama kulikuwepo na zaidi ya press conference moja!

Pili, I wish I could be IGP, ilikuwa matukio mawili. Hilo la gari ya Manji kuoshwa na washabiki wa Yanga pamoja na wanakwaya wa Gwajima pale polisi! Kumbuka walikuwa wamekamatwa kwa amri ya Makonda “kwa kuuza madawa ya kulevya”, lakini bado rais aliona hata ule unyanyasaji hautoshi, as if yeye ndo aliyemtuma!

Ruge aliongea kwa logic na hekima kubwa sanaaa...mnoo yanii
Akasema it doesnt matter wether unaonba msamaha au la...Kuna Amri ya Rais hili liishe but ukweli ni kwamba Kosa lilitendeka ndo mana TEF wakatoa adhabu...
Rest in Peace Kaka wa Taifa jmn

DAB alisema 'narudia kwa CAPITAL LETTERS siwezi kuomba radhi'...aiseeee
 
They had that chance when both were alive. Sasa mmoja hayupo nani atakayemsemea aliyonayo?
 
Rais alifanya kosa kuingilia ile adhabu. DAB alisema upande wake haukusikilizwa, Sasa badala ya kumtumbuwa Nape na kuwashikisha Mikono na Ruge, angetakiwa amwachie upande wake usikike. Kama aliamuwa kumbeba mwanae, basi asingemtumbua Nape.

Sijui ni aina gani ya uongozi hii! DAB anatakiwa aseme upande wake.
 
They had that chance when both were alive. Sasa mmoja hayupo nani atakayemsemea aliyonayo?
Aliyeondoka alishasema yake. Hivi Mungu alimpatia Makonda neno la kusema msibani?
 
Wanajamvi, Hii nchi yetu mambo yake ni kama tamthiliya!

Baada ya kufuatilia kuhusu maisha ya Ruge kutokana na tetesi kuhusiana na kifo chake, pamoja na wale wanaosemekana kuwa “maadui wake”, baada ya Makonda kudai “ana subiri Mungu amwambie cha kusema” kuhusu msiba wa Ruge, niliona nipitie nyuma kuhusu haswa msingi wa ugomvi wao!

Baada ya lile tukio la Makonda kuvamia studios za clouds akiwa na walinzi wa ikulu wakiwa na silaha, jambo lile lilikuwa la kushtusha sana! Kwani nchi zilizopinduliwa, ndiyo huwa vyombo vya habari vinavamiwa na kutangaza “a new order”

Baada ya vutanikivute baina yao, kwakweli Makonda alionyesha kiburi sana. Nilimuelewa Ruge aliposema yeye kama Ruge hana shida na Makonda. Lakini kwasababu yeye ni mkurugenzi wa taasisi hiyo kubwa ya habari nchini, basi alikuwa anawajibika kwa watu wengi na kamwe haikuwa issue ambayo ni personal! Ila Makonda alichukulia personal kwa kila hali!

Kwanza alikataa mapendekezo ya kuomba radhi! Ambapo aliapa kamwe hatoomba radhi hata iweje! Na kwamba sababu ni upande wa pili ambao ni upande wake yeye mvamizi haukusikilizwa! Ndipo nikajiuliza yeye upande wake alikuwa na kipi cha kujitetea? Tena ushahidi wa videos ukiwepo? Kwangu ninaamini Makonda aliongozwa na kiburi! Kwenye ile video clip ambapo TEF walimuita Ruge na Makonda, ambapo Makonda aliweka wazi kabisa kuwa hakutaka Ruge awepo! Alimwambia karibu wa TEF kuwa “hataki kumuona Ruge”, yani hata siyo kusema “hataki kukutana naye”, bali hataki kumuona! Nilishangazwa sana na maneno yale yaliyojaa chuki ya kutisha na kuogofya! Na hilo ni baada ya “kupatanishwa” na rais kule Tanga! Kumbe bado aliondoka na bifu kali kabisa!

Makonda kwenye hiyo press conference baada ya kupatanishwa kule Tanga, alisema kamwe hawezi kuomba msamaha! Na kwamba upande wake haukusikilizwa!

Sasa kwanini Makonda hakupewa hiyo nafasi ya kusema huo upande wake? Sijui kwanini watu hawakuuliza ili tuweze kusikia utetezi wake wa kuvamia studio za clouds usiku? Na kisa ikisemekana kuwa ni kipindi ambacho alitaka kirushwe hewani,ambapo kulikuwepo na tuhuma kuhusu Gwajima kuzaa mtoto wa nje! Kipindi hicho ni wakati ule ambapo rais Maghufuli mwenyewe alisema “I wish I could be IGP, baada ya polisi kuwatizama, pamoja na mengine, wanakwaya wa kanisa la Gwajima wakiimba nje ya kituo cha polisi. Je rais hafahamu kuwa hapo ni sawa na kuzungumza kwa codes?

Wale wakuu wa mafioso ndiyo huzungumza kwa codes! Wanasema jambo kwa kuchukizwa, na anayetajwa ole wake! Hata Trump wa Marekani anashutumiwa kwa jambo hili! Mwanasheria wake na fixer wake ambaye amehukumiwa jela kwa kuidanganya Congress ili kumkinga Trump na kashfa ya kutembea na porn star! ushahidi wa Michael Cohen kwenye Congress alisema hilo! Ni sawa na ile kauli ya rais kuhusu Lissu kuwa msaliti wakati tuko vitani! Kilichofuatia tunafahamu!

Sasa Makonda utetezi wake ni upi huo? Utetezi unaompa kiburi hadi anashindwa kuomba msamaha kwa kosa lilo dhahiri kabisa?! Nina amini kuna siku inakuja haya maswali yatahitaji majibu!

Sishangazwi na yeye kukosa la kusema kwenye msiba wa Ruge. Anasubiri aambiwe na Mungu! Huyo Mungu wake asiye na masamaha? Mwenye kiburi kile wanaita cha uzima?

Makonda upande wako wa pili uliosababisha ukakataa kumuomba msamaha Ruge na clouds ni upi huo?

Kifo cha ruge bashite mhusika namba moja, risasi za lisu bashite 100%, kupotea saa nane na mo bashite 200%.huyu ni mbwa mwitu iwe nyama fresh au mizoga yeye hachagui.
 
Everything ni yeye! Baada ya kusikia kuwa Mambosasa ameitwa dhaifu, akaamuwa amsaidie baba kumnyoosha.
 
hii kashfa ataijutia misha yake yote hadi kuzimuni....alienda na masnipers kabisa, his heart was to kill if possible.
Utetezi wake wa mwanzo eti alienda kirafiki 😂Ruge alipoambiwa, akasema “sitaki urafiki wa bunduki”
 
Back
Top Bottom