Makonda alichaguliwa na nani kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ?

We galagala wee ila ujue shughuli ndo ishaisha hapo, le chair wa committee ni makonda we mwite jina lolote, tupo tunaomkubali sana tu, na nyie mstupangie, kama vipi jikataeni sie tunalisongesha
Nani kakupa mamlaka ya kunichagulia wa kuhoji. Nasema Makonda hafai popote katika uongozi. Ana kashfa za kuvamia Clouds kama mwizi,amefoji vyeti,kaitia nchi kwenye ugomvi na wafadhili.

Haji Manala anarekodi kali,hakuna mwamasishaji ktk soka kwa sasa zaidi ya Haji. Mo Dewji ni mwekezaji mkubwa kuliko wote ktk michezo.

Makonda hafai
 
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
Mimi ni Yanga lakini nafurahi sikumwona Mo Dewji kwenye kikao chini ya Makonda. Si mtu wa hadhi ya kuhudhuria vikao vya aina hiyo.
Kamati hewa hiyo ni level ya akina Haji Manara na Jerry Muro
 
Chuki yako dhidi ya bwana Makonda imefika climax, you are better than that, kipi kikubwa kuwa RC dar au kuwa mwenyekiti kamati ya uhamasishaji?
Hatumchukii ila tunajua na tunashuhudiwa kabisa...taifa stars haitafika mbali kwa uwepo wake tu....Mark my words.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte achana nae huyo aliepoteza ushawishi kwa bwana mkubwa anahangaika na kulobby kila sehem ili aonekane ana umuhim. Labda hio kamati itamhamasisha anyakue tena hela za watu lkn sidhani. Hivi GARI alionyng'anywa na ikolu limerudishwa??
 
Upumbafu mtupu tff wanatufanyia. Mpira wa ushindi hauhitaji mtu akuhamasishe ili uucheze au kuushangilia.

Badala ya kutengeneza Mpango mkakati wa kuifanya taifa stars ili iwe timu imara wao wanataka watu wapige makelele ili washinde.

Nyambafu zao kabisa, mpira ni mguuni si mdomoni. Akina makonda na wenzao wanapoteza muda tuu.
TFF wajitafakari kwa hili.

Huna mpango mkakati hakuna ushindi wowote na huwezi mshinda popote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Akina Okwi na wenzakoooo tufungeni goli kumiiii jamani.AMRI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa hili jambo kuwepo kwa makonda
Mpira sio mdomoni mpira ni uwanjani makonda hana ushawishi wa kuhamasisha kutokana na sifa zake kiburi jeuri kiherehre ndio atamuamasisha nani? amepoteza mvuto kwa vijana wengi hiyo kamati ni kupoteza hela tu
Nimeghairi kuishangilia bora tufungwe tuache ubabaishaji na tujifunze
 
Adi huu ukweli wanakataa , Hivi mtu kama Makonda aliyekosa Busara anachaguliwa kua mwenyekiti kwenye kamati isiyotaka Mambo ya siasa akiongoze ? Yaani mnachekesha kweli...yaani ni mjinga gani atampelekea Huyo mwenyekiti siri na mbinu za mafanikio ? Yaani mtu anagombana na wanasiasa na watumishi mbalimbali kutokana na kauli chafu leo mmemleta na Huku FIFA.
Ngoja anogewe aje awaaibishe alafu FIFA iwashushie rungu...make Huyo ashindwi kuvuka mipaka ya hicho uhamasishaji.
 
Adi huu ukweli wanakataa , Hivi mtu kama Makonda aliyekosa Busara anachaguliwa kua mwenyekiti kwenye kamati isiyotaka Mambo ya siasa akiongoze ? Yaani mnachekesha kweli...yaani ni mjinga gani atampelekea Huyo mwenyekiti siri na mbinu za mafanikio ? Yaani mtu anagombana na wanasiasa na watumishi mbalimbali kutokana na kauli chafu leo mmemleta na Huku FIFA.
Ngoja anogewe aje awaaibishe alafu FIFA iwashushie rungu...make Huyo ashindwi kuvuka mipaka ya hicho uhamasishaji.
kabisa !
 
Back
Top Bottom