Makonda alichaguliwa na nani kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,373
217,435
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
 
Nadhani jifunze kutofautisha Benchi la Ufundi na Uhamasishaji

Makonda hakachaguliwa kwenye Bench la ufundi Bali ni Mhamasishaji tu Jambo ambalo halihitaji kujua Mpira wala Kutojua Mpira, Sasa unaposema hajawahi kucheza mpira sijui umekusidia kuprove nini wakati Bakhressa hajawaji kucheza hata Chandimu na anamiliki timu ya Azam lakini wewe kwenye Uhamasishaji tu unaanza kukosoa.

Watu tunapenda ujuaji kweli.
 
amechaguliwa na nani ?
 
Chuki yako dhidi ya bwana Makonda imefika climax, you are better than that, kipi kikubwa kuwa RC dar au kuwa mwenyekiti kamati ya uhamasishaji?
 
Kipindi Mo anachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kusaidia Taifa Stars ishinde alichaguliwa na nani?
 
Upumbafu mtupu tff wanatufanyia. Mpira wa ushindi hauhitaji mtu akuhamasishe ili uucheze au kuushangilia.

Badala ya kutengeneza Mpango mkakati wa kuifanya taifa stars ili iwe timu imara wao wanataka watu wapige makelele ili washinde.

Nyambafu zao kabisa, mpira ni mguuni si mdomoni. Akina makonda na wenzao wanapoteza muda tuu.
TFF wajitafakari kwa hili.

Huna mpango mkakati hakuna ushindi wowote na huwezi mshinda popote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
atakuwa alijichagua tu huyu, si bure!
 
Ambao hamkuwahoji walishafanya nini labda, acheni wivu wa kike, aliyepewa kapewa tu
Nani kakupa mamlaka ya kunichagulia wa kuhoji. Nasema Makonda hafai popote katika uongozi. Ana kashfa za kuvamia Clouds kama mwizi,amefoji vyeti,kaitia nchi kwenye ugomvi na wafadhili.

Haji Manala anarekodi kali,hakuna mwamasishaji ktk soka kwa sasa zaidi ya Haji. Mo Dewji ni mwekezaji mkubwa kuliko wote ktk michezo.

Makonda hafai
 
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
Na wadau!! Wewe nani anakujua!! Wewe kaa hapa JF tu na propaganda zako tuu!@
 
Nimeona kwenye Gazeti la Mwananchi Ndugu Makonda akitambulishwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya Taifa Stars , huku katibu wa Kamati hiyo akitajwa kwa jina la Herisi Said , hivi hii kamati ya hamasa ina majukumu gani na iliteuliwa na nani kwa utaratibu upi ? inakuwaje watu wasio na mchango wowote kwenye soka wakapewa jukumu la uhamasishaji ?

Makonda mtu mwenye bifu kila mahali anawezaje kuwa mhamasishaji wa soka , mchezo ambao hajawahi kuucheza tangu azaliwe ? atamhamasisha nani ? Hakika mikosi ya Taifa stars inaletwa na mengi sana ! mtu aliyeshindwa kukomboa makontena yake ya biashara bandarini atahamasisha nini kwenye soka , mchezo unaohitaji pesa , umoja na mshikamano ?
Ujinga ujinga tu,wakati mashindano yaanza hatukujua kuwa tunahitaji kufuzu? J
Mtu kama makonda anaufahamu gani kuhusu mpira? Hatuwezi fanikiwa Kwa zima moto
 
Back
Top Bottom