Hahahaha... Sawa kaka..mfumo wetu uleee
Huenda akapata laana....Hiki kichwa cha habAri yaani makonda na pengo unawaweka at a par na kusema wakuu wawili?????
Mkuu wa Mji wa Dar yetu Makonda akipewa baraka na Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar ambaye pia ndiyo Kardinali wa Kanisa Katoliki Kardinali Pengo!
Mkuu wazo lako zuri sana ila nadhani wanaotaka huduma hiyo wanaenda wenyewe kwa Askofu na si yeye kuwafuata makwao.Pia mkumbusha kardinali Pengo akampe hizo baraka meya wetu mpya maana upatikanaji wake ulikuwa wa mbinde hivyo 'walioshindwa' wanaweza kuleta mambo ya visasi!
Hiki kichwa cha habAri yaani makonda na pengo unawaweka at a par na kusema wakuu wawili?????
Ask Pengo hajamfuata Makonda, Makonda ameenda ofisini kwa Ask Pengo, mwambie na Meya aende atapewa baraka.Pia mkumbusha kardinali Pengo akampe hizo baraka meya wetu mpya maana upatikanaji wake ulikuwa wa mbinde hivyo 'walioshindwa' wanaweza kuleta mambo ya visasi!