Makonda akichomoa kashifa hizi Tanzania ya viwanda ndoto

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Kashifa zake
1. Kumiliki mali nyingi zisizoendana na muda aliokaa kazini (MSUKUMA, SELASINI),

2. Umiliki wa vyeti vyenye utata (Askofu GWAJIMA na Kimambi),

3. Umiliki wa ardhi yenye utata (waziri wa ardhi)

Hapa nasubiri busara za Mhe. Dkt JPM - kwa kuwa nchi hii haina uhaba wa watu wadilifu wenye uwezo wa kutumikia wananchi kwa nafasi ya ukuu wa Mkoa.
 
Huyu RC wa Dar Daudi Albert Bashite ameshaichafua serikali na Chama chake sijui kwanini mamlaka yake ya uteuzi imekaa kimya kama vile hawalioni hili.

Mh Rais muondoe huyu Mhalifu wa Taaluma RC wa Dsm.
 
Siasa za Maji taka hizi
Kwa hiyo Makonda ndo amebeba future ya viwanda Tanzania?

Fanyeni Kazi acheni umbea vijana
 
Back
Top Bottom