Makonda aahidi kuwasaka mashoga mahotelini

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana

=======

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza operesheni ya kuwasaka mashoga jijini humo.

Makonda amesema vitendo hivyo vimeanza kuongezeka jijini humo na lengo lake ni kuwaokoa watoto wasiige mambo hayo yanayoonekana kukua kwa kasi.

Bosi huyo wa mkoa amesema, “hili ni tatizo linalokua kwa kasi sitaruhusu liendelee katika mkoa wangu, nitawasaka popote walipo”.

“Hata hapa bandari wanaweza kuwapo mashoga wafichueni, mkiona mtu ana tabia za ajabu ajabu mfichueni, tutashughulika nao”.


Chanzo: Mwananchi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amepiga marufuku biashara ya shisha, Sigara na Ushoga jijini Dar.

'Mimi ndio mbabe wa vita. Ndani ya siku 7 biashara iwe imefungwa Mara moja' amesema Makonda.

Amesema Ndani ya mkoa wangu(Dar) ni marufuku kuvuta sigara hadharani!

Aidha, ni marufuku wakazi wa Dar ku-follow mashoga kwenye twitter, Facebook, Instagram nk. Amewatahadharisha watu Just kuunfollow them ili usiwe hatiani!

Kaongezea kwamba, Kuna Asasi za Kiraia(NGO) zinapokea misaada ili zitetee mashoga. Kwenye mkoa wake wa Dar hizo NGO zote atazifuta.

Dar es Salaam Sasa Kumekucha.
 
Mimi sijaelewa kiundani hii issue, kwani kuna sheria yoyote juu ya ushoga?

Na hao mashoga wanawasumbuaje watu kiasi kwamba waendesha nchi wawasake mjini dar, huku wezi na majambazi wanaosumbua wananchi wapo wamekaa mkao bila kusumbuliwa na wengi wanajulikana na hao wengine?

Sasa tunasubiri kusikia kavamia nyumba za majambazi na wezi waliokubuu wa jijini kwake maana hata kutembelea Dar, tunaogopa siku hizi. Bora zaidi mkoani kwangu.
 
Huyu nae, mbona misifa....jiji lina matatizo chungu nzima
Bado miundo mninu mibovu
Maji maguriko yakitokea matatizo
Wamachinga bado hawana solution
Foleni bado matatizo
Madala dala bado hawatii sheria na trafic wapo kukamata matajiri
Bado kuna ukosefu wa walimu , madawati ....
Haya ya mashoga wako wangapi kwani hapa dar ?
 
Mkuu wa mkoa wa dsm kasema kuwa atapambana na mashoga popote walipo ataenda hadi mahotelini.. Source Magazetini:
My take: kuwafuata mashoga mahotelini ni hatari. Ila nampa support yangu. Hii hulka ya ushoga ni mbaya sana
Wanatukana balaa. Yaani matusi yao hayaandikiki. Ndio Defense Mechanisms yao.
 
Kweli kabisa
Tena wasifungwe maana huko wataenda fanya ujinga huo
Waadhibiwe iwe fundishonkwa wote
 
Ndio kipaombele chake au?

Akishawapata atawapeleka wapi ili waache huo ufuska?

Ule mchezo ni ngumu kuachika labda kama atakua anawaua akiwakamata.
 
Aisee umemsaidia sanaa!! In short hotelini sidhani kama atawapata.. Na je atajuaje kuwa huyu ni shoga?
akifika huko tu atawajua mana husasambua kama waalikwa wengine tena zaidi. kumbuka wahusika wa huko ni nani na hao wanaebda kivipi wsksti inawahusu wanawake. Sio lazima aende nwenyewe na makamera... atume wanawake askari
 
Ukimkamata unamshtaki kwa sheria ipi? uzururaji? hotelini? Mi nilidhani ataishauri serikali itunge sheria kali kukomesha hiyo tabia. Siasa
 
Back
Top Bottom