Makomedi wa Kibongo hali zao zilivyo siku hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makomedi wa Kibongo hali zao zilivyo siku hizi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Mkuu.Boflo..............
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh hii kali....ndio maana utaona kila mtz anataka kuwa comedian, wanapenda sana easy money...
  Wanataka wapate vitambi vya heshima
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Bila ya kuwa Msanii huwezi kuishi maisha Mazuri wewe huoni ma Daktari wanavyoteseka kudai haki yao kwa Seikali lakini hawasikilizwi ona Wasanii wanavyotamba kwa kupata pesa kiurahisi tu hapo nyumbani kwetu kuwa na wewe Msanii utapata kitambi mkuu Boflo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha....hata Baba wa taifa alikuwa msanii na ndio mwanzilishi wa usanii nchini....Alikuwa na master of Art
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280
  Mkuu Boflo..................................


  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nimeamini hakuna binadamu mwembamba duniani. Ukiona mwembamba ujue usawa umebana tu. Teheheheheheheheheheheh
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Obama ni mwembamba na ni prezidaa wa dunia, hapo utasema usawa umebanaje..?
   
 8. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wacha watoke shavu, they worked hard, why not?
   
 9. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ana maintain
   
 10. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  na huyu je, yeye hajawahi kunenepa...!!
  [​IMG]


   
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kwa macho unaweza kuona usawa upo safi lakini moyoni vurugu tupu.
   
Loading...