MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Mwaka 1948 mara tu baada ya Israel kutangaza uhuru wake waarabu kwa umoja wao walitaka kuifuta Israel ikiwa changa kabisa. Kama una majibu kwa nini hawakuweza na badala yake wakapigwa wao usishabikie usichokijua. Soma historia ndiyo utajua hata Iran ikileta ujinga itapigwa tu.Hawa jamaa siku yao itawadia tu, na watafuatwa hadi kwenye nyumba zao na kuuliwa.