Makombora ya Dr Slaa yatua kwa Mkapa, Dr Kafumu

U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
14
Points
0
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 14 0
Masikini Kafumu, ulifuata nini Igunga hata baada ya kugeuka mkosaji mzoefu wa kiti hicho cha ubunge kwa vipindi vitatu tofauti, hebu angalia sasa unavyofumuliwa UFISADI wako kule wizsara ya nishati na madini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,997
Likes
475
Points
180
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,997 475 180
Ha ha ha rais wangu bana suti????????? sina rais hana tofauti na mzee mangungo, yeye anahongwa suti wanaigunga wanahongwa t sheti aibu.

Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Messages
11,498
Likes
26
Points
0
Shine

Shine

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2011
11,498 26 0
Nazidi kuamini ngozi nyeusi ina kama kalaana flan rais adanganye na suti badi inaelekaea wabunge wake soks tu fresh

Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,997
Likes
475
Points
180
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,997 475 180
Maisha yangu sintohongwa na mwanamme mwenzangu bora kufa kuliko kupokea.
Hongera Mbowe kwa kuwaambia wanaigunga sasa watanzania wengi wameanza kuijua hii story.

PatPending

PatPending

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Messages
490
Likes
2
Points
33
PatPending

PatPending

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2007
490 2 33
Hapa kuna mawili, aidha ni utoaji mbovu wa taarifa za matukio uliofanywa na mwandishi wa habari hizi au Chadema hawana sera mpya inayohusu hasa jimbo la Igunga. Itapendeza kujua hasa ni nini kiliongelewa katika mkutano huo wa hadhara wa Chadema maana alichotoa mwandishi ni kile kile ambacho tumekuwa tunakisikia kila siku.

Sishabikii ufisadi ila ninaamini wanaIgunga wanamatatizo yao yanayowagusa kwa ukaribu zaidi hususani katika upatikanaji wa huduma bora za kijamii kuliko haya ya ufisadi. Vita dhidi ya ufisadi ni vyema ikaendelea ila ni bora pia isitumiwe kama ndio mkakati maalum au pekee wa kujaribu kuwashawishi wapiga kura wa Igunga.

Mheshimiwa Mkapa amezungumzia uwepo wa barabara ya lami tu, je barabara hii inawanufaishaje wanaIgunga katika kipindi hiki cha gharama za juu za maisha?

pinochet

pinochet

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
345
Likes
29
Points
45
pinochet

pinochet

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
345 29 45
Wakati wa ukoloni kuna chifu mmoja alipewa kipande cha nguo akakubali kutoa sehemu ya ardhi kwa wazungu!!! Mambo hayo bado yanaendelea kutokea mpaka sasa!!!

Alikuwa anaitwa Chifu Mangungo wa Mahenge Morogoro,alipewa na kioo cha kujiangalia akafurahi sana,akagawa ardhi kwa Carl Peters. Imagine mtu anapewa suti,dola 1000 na $1 million anataka kugawa mbuga kwa kujenga hotel. Iliposhindika mwarabu kapewa ardhi Zenji kajenga hotel na tena maombi ndani ya saa 12 tu. Yetu majicho!

S

SEAL Team 6

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
655
Likes
0
Points
0
Age
40
S

SEAL Team 6

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
655 0 0
Mkapa amekwenda Igunga kumnadi Mwizi na fisadi mwenzake ili atakapochaguliwa akafiche ukweli kuhusu mikataba feki ya madini. Wana Igunga wanatakiwa pia wamuulize Mkapa kuhusu ile Hotel ya Kimataifa aliyojenga Afrika Kusini, pesa alizitoa wapi na kama bado inamilikiwa na yeye je yuko tayari kuiuza na fedha hizo kurudishwa nchini ili zifanye maendeleo ya wanachi?. Kazi kwenu wana Igunga.

Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,416
Likes
7,496
Points
280
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,416 7,496 280
Wana Igunga amkeni, ccm haitawasaidia kitu, na kama mnabisha wachagueni muone.

Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
686
Likes
3
Points
0
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
686 3 0
Nijuavyo mimi Al-Abwaldy ni jina la Kiarabu, na haswa ukizingatia kuwa ni raia wa Dubai, Pia kianzio cha jina lake ni Bwana kinadhihirisha ni wa jinsia ya kiume. Sasa mbona yule jamaa yetu Amiliki aliyeandika kuwa aliyemnunulia Suti Tano ni Mwanaume mwenzie na tena ni Mwarabu, Mode umemfungia! Kosa lake ni nini!

Naomba kuwakilisha usinifungie namie.

kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,838
Likes
1,686
Points
280
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,838 1,686 280
hah hah hah..mi nilijua kuna matatizo na kichwa chake,ila sasa nimejua chanzo cha tatizo

Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,851
Likes
609
Points
280
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,851 609 280
Wakati wa ukoloni kuna chifu mmoja alipewa kipande cha nguo akakubali kutoa sehemu ya ardhi kwa wazungu!!! Mambo hayo bado yanaendelea kutokea mpaka sasa!!!

Huyo alikuwa chief Mangungo wa Msovero kwa waluguru mji kasoro bahari. Alihongwa shanga,kioo cha kujitazama,kitambaa cha mmarekani ukipenda kiite kaniki au sanda, na gobore la kuwindia pale mikumi. Chief akatwaa ardhi kwa wajerumani wakaanzisha mashamba ya mkonge na colonial state.. Yeye mkuu wa nchi kawatwalia ardhi kule manyara na serngeti wajenge mwahoteli ya kitalii.

P

pat john

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Messages
245
Likes
0
Points
0
P

pat john

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2009
245 0 0
Kulikuwa na wanascience kutoka mataifa mbali mbali wakijisifia jinsi walivyofanikiwa ktk science ya Tiba. Mmoja kutoka Japan akasema " sisi kwetu tume advance sana, kuna mtoto alizaliwa hana Miguu, tukamuwekea miguu na hivi sasa anacheza mpira ktk timu ya Man U, Uk". Mwingine kutoka Ujerumani akasema " Sisi kuna mtoto alizaliwa alikuwa hana Mikono, tukamuwekea ya plastiki na hivi sasa amebobea ktk masumbwi". Mwingine kutoka tanzania akasema " Sisi kwetu kuna mtoto alizaliwa bagamoyo hana kichwa, tukamuwekea nazi na hivi sasa ni Raisi". Basi wale wanascience wote wakamuheshimu yule Mtz na kusema kweli you hv realy advanced,
Haaa hii imekaa poa, maana ni halisi kweli.

Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,851
Likes
609
Points
280
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,851 609 280
Mhh, hakuna tofauti na kabinti ka shule kanakong'olewa kwa chips mayai

mkuu chips mayai unapandisha sana chati,hizo ni za masister duu wale classic. Hapo ni sawa na anavyohongwa mtoto wa uswahilini chips kavu na chachandu la nyanya za masalo(mbovu mbovu) halafu likagongwa rost.

H

Hardwood

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
904
Likes
583
Points
180
H

Hardwood

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
904 583 180
My day is complete mkuu!!! Sina mbavu kabisa mkuu!
Kulikuwa na wanascience kutoka mataifa mbali mbali wakijisifia jinsi walivyofanikiwa ktk science ya Tiba. Mmoja kutoka Japan akasema " sisi kwetu tume advance sana, kuna mtoto alizaliwa hana Miguu, tukamuwekea miguu na hivi sasa anacheza mpira ktk timu ya Man U, Uk". Mwingine kutoka Ujerumani akasema " Sisi kuna mtoto alizaliwa alikuwa hana Mikono, tukamuwekea ya plastiki na hivi sasa amebobea ktk masumbwi". Mwingine kutoka tanzania akasema " Sisi kwetu kuna mtoto alizaliwa bagamoyo hana kichwa, tukamuwekea nazi na hivi sasa ni Raisi". Basi wale wanascience wote wakamuheshimu yule Mtz na kusema kweli you hv realy advanced,

mmbangifingi

mmbangifingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
2,858
Likes
25
Points
145
mmbangifingi

mmbangifingi

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
2,858 25 145
Wana Igunga amkeni, ccm haitawasaidia kitu, na kama mnabisha wachagueni muone.
Mkuu,wasithubutu kabisa. kufanya hivo ni sawa na kutest sumu kama inaua kwa kuionja!

bi mkora

bi mkora

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
262
Likes
1
Points
0
Age
34
bi mkora

bi mkora

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
262 1 0
Sisiem wenyewe wanasema mbona miaka ming wamekuwa wakiwapa wanancha flana na kofia na kanga.nchi ya kitu kidogo bana kwa mtazamo wangu wanaume wangegoma kupokea flana walazimishe waletewe na kaptula au suruali mbona mkuu yeye kapewa vyote
Wanavyowapa wanaume tshirt na kofia bila suruali inamaanisha wanataka waje kwenye mkutano na tshirt na kofia bila kuvaa suruali kabisa, sasa sijui wanataka kuwafanyaje wakija watupu?

U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,176
Likes
1,739
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,176 1,739 280
Nyere aliwahi kusema 'Kuna biashara gani pale.......'?

Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,440
Likes
2,279
Points
280
Bigirita

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,440 2,279 280
CCM nambari wani..........viongozi wake ni nambari wani kuongwa sarawili!!
What did this guy had in mind!!!............I mean...........Pants...!!!!
CCM has a joke for a leader.

H

hans79

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Messages
3,802
Likes
26
Points
145
H

hans79

JF-Expert Member
Joined May 4, 2011
3,802 26 145
Mwajamen hoja hii ccmagamba mbona kimya!ff,ms etc hata kamoja kakupinga hakajatokea du hii kali au ndo wameenda kwa nape kuchukua kamgao kao.CDM wapunguze makombora sababu jamaa upande wa 2 ziii.CDM TU JUU TUONGEZE BIDII

M

MUGUNDA

Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
58
Likes
11
Points
15
M

MUGUNDA

Member
Joined Aug 11, 2011
58 11 15
Balozi wa USA alichokisema ni ukweli kwa sababu siku na majira aliyoyataja balozi, JK alikuwepo London na JK kama angetaka kuwa mkweli
basi njia aliyotumia kukanusha ilikuwa siyo njia ya mtu anayetaka kuweka ukweli wazi kwani Press Release ya ikulu ikiwa haina kumbukumbu au record yoyote ndani yake haitoshi kama kweli JK angetaka ku mkweli angeuomba ubalozi wa Uingereza DSM utoe kumbukumbu za trip yake nzima za siku ile kwani wanazo zote watu wao wa usalama kule London na ndio hizo walizoshea na wamarekani na Kikwete analijua hilo lakini anajua kuwa Watanzania ni wajinga hatuwezi kulijua hilo.
Mkuu hapo umenena cha ukweli, huyu jamaa katufumba macho tu suit walimpima kweli, mzungu na Akili yake hawezi kukaa kwenye mtandao na kumchafua Jk kwa kosa gani la kumwandika vile???,bali ameandika kitu cha ukweli.

Forum statistics

Threads 1,263,528
Members 485,918
Posts 30,155,293