Makombora bora Duniani-Israel Case study

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,295
10,467
.... Nijisemee mwenyewe, ni muumini wa matokeo. I liked Namna majengo yalivyokuwa yakizibuliwa na Israel missiles. Kuna kitu naomba kujifunza, ni Aina gani ya makombora bora kabisa yaliyoweza kung'oa mjengo wa ghorofa 10-15 in only 2-5 seconds, yaani jengo Zima linadondoka!!

Pitia YouTube Namna jengo kubwa kama lile lililokuwa na media za Al Jazeera na AP! Few missiles linageuka kifusi!

What were the hit targets? Kwa nn hawakufanya hata a mere mistake?

They must be super intelligent!!

Ni makombora gani bora kabisa unayafahamu? Unalifahamu kombora linaitwa Hell fire? Moto wake kama jehanam u know!!

Kudos IDF!!
images%20(8).jpg
images%20(9).jpg
 
Mi kilichonishangaza haya makombora yanapigaje Kwa chini na siyo juu ambapo kuna open space ya kombora kupita na ndo jengo linakuwa exposed .....!! Mi sijaelewa wataalam mnijuze
 
Hapo kupiga jengo moja tuu na la pembeni halipati madhara ndo kunanishangaza....
Tumezoea kombora linapigwa creki mpaka mtaa wa saba tena kwa kishindo si cha kawaida
 
Hapo kupiga jengo moja tuu na la pembeni halipati madhara ndo kunanishangaza....
Tumezoea kombora linapigwa creki mpaka mtaa wa saba tena kwa kishindo si cha kawaida
Huenda wanatumia mfumo wa Missile guidance
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom