Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

Komando ni kozi waliopo ni kuanzia private nakuendelea wapo ktk madaraja kuna private kuna cpro ,sugent .....hadi maafisa nao wapo ktk madaraja kulingana na elimu zao
 
Hakuna anae kutisha!! Unahitaji uharisia wa mambo huna haja ya kuogopa!!
Npo serious kwel kwa sasa npo morogoro kesho ntakuwa lugalo
hahaha, sasa mzee, unataka ukapigane na raia, kweli ndio mafunzo na nidhamu mliyojifunza hiyo? au ulifeli mitihani? mtaalamu yeyote wa kupigana huwa hapigani na raia, ukishamuona tu raia unaamini umeshampiga hata kabla ya kumfanya chochote unamdharau na kuachana naye, unamwona kama mtoto tu. sasa wewe kama unataka kutunishiana misuli na raia si ajabu utakuwa mvuta bange tu na jeshini hamfundishwi hayo.
 
Nakumbuka movie ya Anold Swaazzneger (spelling najua nimekosea ila inaelewela)Ilikuwa kali mno enzi zile.Ama kweli macomando ni kiboko pamoja na kuwa movie inaongeza chumvi kidogo.
 
hahaha, sasa mzee, unataka ukapigane na raia, kweli ndio mafunzo na nidhamu mliyojifunza hiyo? au ulifeli mitihani? mtaalamu yeyote wa kupigana huwa hapigani na raia, ukishamuona tu raia unaamini umeshampiga hata kabla ya kumfanya chochote unamdharau na kuachana naye, unamwona kama mtoto tu. sasa wewe kama unataka kutunishiana misuli na raia si ajabu utakuwa mvuta bange tu na jeshini hamfundishwi hayo.
Nitake radhi ndugu mi si mvuta bange!!
Niliomba mtu alihitaji kujua kuhusu komandoo na mshahara wake na kuhusu vyeo vyao aje pale lugalo kesho ili nimpe full detail za jwtz command unit B5kj 94 ngelengele afu alete mrejesho humu ndani baada tu ya kukutana nae kesho!! Hvyo tu...nidhamu ipo kwa wazalendo!! OVER
 
hahahaha, kama kweli wewe ni mjeda au komandoo, utaniwia radhi kwa kukukwaza. binafsi huwa nawaheshimu na nitaendelea kuwaheshimu mkuu. buty i really believe you are one of them ,kwasababu kwa kawaida najua mjeda kwa jinsi alivyofunzwa nidhamu na kuwachukulia raia wala asingepoteza muda kubishana na raia kwasababu kwa mafunzo na uzalendo yeye yupo juu sana ya raia wa kawaida. ni kama baba unavyokuwa level nyingine na mtoto wako mdogo hivyo hata kubishana naye utakuta ni kupoteza muda unampuuzia tu na kuendelea na maisha yako. hauhitaji kuthibitisha chochote kwake ili aamini kwamba wewe ni baba yake wakati anaona unaamka chumba anacholala mamake na tangu utoto amekuwa akikuona upo na mazake.big up bro.
 
Nitake radhi ndugu mi si mvuta bange!!
Niliomba mtu alihitaji kujua kuhusu komandoo na mshahara wake na kuhusu vyeo vyao aje pale lugalo kesho ili nimpe full detail za jwtz command unit B5kj 94 ngelengele afu alete mrejesho humu ndani baada tu ya kukutana nae kesho!! Hvyo tu...nidhamu ipo kwa wazalendo!! OVER
Tunataka muende somalia...siyo kutisha raia na matofali
 
Mkuu mr Mtui na Hute nimewapata vema sana. Lengo langu si kuwatisha au kuwataka ubaya wowote hapana lengo langu ni kwamba watu watambue humu jf tupo watu wa kada na itikadi tofauti hivyo mtu avyoamua kuelezea taaluma ya mwingine ni vema akazingatia heshima ya kazi husika
 
Hivi wale tuliowaona leo ni makomandoo? Kama ni makomandoo wapo kwenye rank gani?

View attachment 445226
Hii misumari bana imekua mingi sana mpaka imekua kama surface area tu, sio kitu cha hatari tena. Yaani haina tofauti na kulalia ukuta uliopigwa "chupping", ingekua iko mmoja mmoja mbali mbali ningesema kweli ina madhara. Lakini hivi imebanana hivi hata mi mwenyewe nalalia tu, na hata usingizi napata vizuri kabisa.
 
Mkuu mr Mtui na Hute nimewapata vema sana. Lengo langu si kuwatisha au kuwataka ubaya wowote hapana lengo langu ni kwamba watu watambue humu jf tupo watu wa kada na itikadi tofauti hivyo mtu avyoamua kuelezea taaluma ya mwingine ni vema akazingatia heshima ya kazi husika
Umeleweka...tunataka mfanye show na Kenya...mana hao wamekuwa wanawadharau dharau hasa huku jf
 
Mkuu mr Mtui na Hute nimewapata vema sana. Lengo langu si kuwatisha au kuwataka ubaya wowote hapana lengo langu ni kwamba watu watambue humu jf tupo watu wa kada na itikadi tofauti hivyo mtu avyoamua kuelezea taaluma ya mwingine ni vema akazingatia heshima ya kazi husika
upo sahihi, lakini, hivi kweli unafikiri kuna mtu hawaheshimu makomandoo? kwasababu kwa kawaida mimi ni mcheza martial art kwa level ya juu sana, lakini namheshimu komandoo na wanajeshi wote. iyo tu kuvaa gwanda mkuu ni sawa na mikanda kadhaa ya huku kwetu mtaani na unatakiwa ku feel proud kuwa mjeda au komandoo. tunaamini ninyi mmejifunza zaidi ya hizi martial arts tulizojifunza sisi, mmejifunza uzalendo, nidhamu, zaidi sana sisi huku tunajifunza martial arts za defence, nini mnajifunza martial arts za defence plus kuua. ndio maana mko tofauti na polisi, nini mmefunzwa kuua adui na mioyoni mwenu hamuwezi kuona tofauti yeyote kihisia ukimuua adui, wakati sisi huku mtaani ikitokea mtu ameua hata kama kaua adui, anaweza kuweweseka mwaka mzima.

mmejifunza intelijensia ya hali ya juu, namna ya kufanya maokozi, na vitu vingi ambavyo naamini hatuvijui huku mtaani. sasa hata ukiona tunabishana, ni utani tu ili kufurahisha jukwaa na pengine ili watu wajitokeze kutoa hoja zitakazowajenga watu wengine, lakini ukweli unabaki palepale kwamba comandos wetu wako vizuri, si komando peke yake, hata wanajeshi wa kawaida wako vizuri. nilifurahi sana ile kwata ya kimyakimya kama uliiona. pia nimeperuzi sana kuona makomandoo wa urusi, marekani, israel, korea kaskazini na china namna wanavyofanya show zao, kusema ukweli, hawa wa kwetu wako vizuri sana. lakini hatutakwepa ukweli huu kiongozi kwamba, sherehe ya juzi komando wetu hawakuperform vizuri kama walivyopaform miaka ya nyuma. kuna vitu vingi walizembea, nashauri mwaka kesho wateuliwe wengine wa kuleta show. yule aliyerusha teke la juu ali miss kile kibao na haikuwa perfect, pia kwenye mapigano ya mkono walikuwa wazito kidogo sana. pia ile kufanya attack kwa kujiandaa sio sahihi sana, inatakiwa isionyeshe kama mtu anajiandaa, mfano anapoenda kurusha teke anajivuutaaa, hivi adui atakuwa anakusubiri? kuna mambo machache ambayo yangenogesha show, pamoja na kwamba tunaelewa kwamba in a real battle kuna zaidi ya pale. Mungu awasaidie na kuwalinda mtulindie nchi yetu.
 
Back
Top Bottom