Makomandoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Makomandoo (Full wing commando) wa South Africa walifanya kazi njema sana ya kuhakikisha ulinzi wa mwili wa Madiba. Hakika walimpa heshima ya kikomandoo , Hivi nasi kwa baba wa Taifa ilikuwa ni makomandoo??? Anayekumbuka atujuze wakuu.R.I.P Tata Madiba.
 
Attachments

  • 630x385.jpg
    630x385.jpg
    27.5 KB · Views: 1,166
  • 20131211_mandela_reuters.jpg
    20131211_mandela_reuters.jpg
    18.4 KB · Views: 1,190
  • 131213135136-05-mandela-memorial-1213-horizontal-gallery.jpg
    131213135136-05-mandela-memorial-1213-horizontal-gallery.jpg
    27 KB · Views: 1,220
Mkuu MeinKempf, rekebisha kwanza heading, inasoma [h=2]''Makondoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela''[/h]Nadhani ulikusudia

[h=2]''Makomandoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela''[/h]
Sina uhakika na vyeo vya waliobeba Jeneza la hayati Mwal. Nyerere ila nnachojua walikua ni wanajeshi wa ngazi ya juu na tulimpa heshima aliyostahili. Thanks
 
Last edited by a moderator:

Edited!!
 
Hivi unajua ktk jeshi ukomandoo sio cheo?
 
Mimi na jeshi mbali mbali mkuu, ndio maana nimemwambia mleta uzi sijui, ila yeye naona ana hiyo taaluma ya kuwatambua makomandoo, ndio maana nikasema nakumbuka kwa Mwl. Nyerere jamaa waliobeba jeneza lake kwa mavazi waliyoyavaa, yalikua yanatuaminisha kwamba ni watu wenye ngazi za juu huko jeshini.
 
Hakuna commando katika wale pall bearers. They are high ranking military officers from different wings of the SANDF. If I'm not mistaken wale waliombeba Mwl Nyerere were of the rank of Lt. Col.
Being a commando is not a rank rather a specialization. In fact most special forces are not officers or nco's.
 
Mkuu MeinKempf, rekebisha kwanza heading, inasoma [h=2]''Makondoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela''[/h]Nadhani ulikusudia

[h=2]''Makomandoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela''[/h]
Sina uhakika na vyeo vya waliobeba Jeneza la hayati Mwal. Nyerere ila nnachojua walikua ni wanajeshi wa ngazi ya juu na tulimpa heshima aliyostahili. Thanks

za siku Mkuu Samaritan?
 
Last edited by a moderator:
za siku Mkuu Samaritan?

Dah! naona huu mwaka naumaliza vizuri, kwema kaka mzima wewe? tunapata darasa mujarabu la wajeda na mambo yao ya makomandoo mara luten sijui kanali, yaani burdani tupu mkuu. Thanks kwa kunikumbuka
 
Hakuna commando katika wale pall bearers. They are high ranking military officers from different wings of the SANDF. If I'm not mistaken wale waliombeba Mwl Nyerere were of the rank of Lt. Col.
Being a commando is not a rank rather a specialization. In fact most special forces are not officers or nco's.
Also known as full mechanised soildier! Hakuna asichokiweza.
 
Makomandoo (Full wing commando) wa South Africa walifanya kazi njema sana ya kuhakikisha ulinzi wa mwili wa Madiba. Hakika walimpa heshima ya kikomandoo , Hivi nasi kwa baba wa Taifa ilikuwa ni makomandoo??? Anayekumbuka atujuze wakuu.R.I.P Tata Madiba.
Una uhakika na ulichoandika mkuu? Wale jamaa ni wakubwa katika Jeshi la Afrika ya kusini na sio makomandoo Kama ulivoleta habari.
 
Hakuna commando katika wale pall bearers. They are high ranking military officers from different wings of the SANDF. If I'm not mistaken wale waliombeba Mwl Nyerere were of the rank of Lt. Col.
Being a commando is not a rank rather a specialization. In fact most special forces are not officers or nco's.

Mkuu hebu tuweke kumbkmb sawa, Mwili wa Nyere ulibebwa na full colonels(kanali) na sio lieutenant colonels (Lt.cols)
 
Just as you have said,commandos are not highly ranked officers in the military,but they are simply special forces who are usually appointed to carry out a special hard task which cannot be easily done by normal soldiers,they are well trained in such a way that they can get confronted with a tough situation without retreat anyway!
 
Back
Top Bottom