Makomandoo tu ndo waliobeba jeneza la mwili wa mandela

Makomandoo (Full wing commando) wa South Africa walifanya kazi njema sana ya kuhakikisha ulinzi wa mwili wa Madiba. Hakika walimpa heshima ya kikomandoo , Hivi nasi kwa baba wa Taifa ilikuwa ni makomandoo??? Anayekumbuka atujuze wakuu.R.I.P Tata Madiba.

Sijaelewa bado, ina maana maiti ya Mandela ilitaka kuibiwa au kutekwa?
 
Mtu akibebwa Na makomandoo Na mwingine akabebwa Na majenerali Yupi anakuwa ameheshimiwa? Mtoa mada nsaidie
 
Hakuna commando katika wale pall bearers. They are high ranking military officers from different wings of the SANDF. If I'm not mistaken wale waliombeba Mwl Nyerere were of the rank of Lt. Col.
Being a commando is not a rank rather a specialization. In fact most special forces are not officers or nco's.

Mkono wao wa kushoto kuna kama bage wamevaa kwenye uniform zao kama ndege anapaa(mabawa mawili) flan hiyo ndio identity yao ya kwanza makomandoo
 
Mtu akibebwa Na makomandoo Na mwingine akabebwa Na majenerali Yupi anakuwa ameheshimiwa? Mtoa mada nsaidie

Ngoja nimsaidie!
Makomando wako tayaritayari kumdhiti marehemu asije akakurupuka na kukimbia.
 
Nadhani ktk taratibu za jeshi kuna kitu kinaitwa funeral pared kulingana hadhi ya mtu ktk taifa.
Hii ndo utakuta kuna mpangilio wenye vyeo gani wahusike na mazishi ya mtu mwenye hadhi gani.
 
Back
Top Bottom