Makofi mengi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni yanaashiria nini?

Kama ameweza kutudanganya kuwa mtu mfu anapiga kazi Ikulu kazungukwa na mafaili anayachambua basi ujue Majaliwa anaweza akafa hata yeye mwenyewe na akazinduka akaja kutueleza kuwa Watanzania wote wamekufa amebaki yeye pke yake tuu anapiga kazi.
 
Ukiachilia labda ile siku aliyotuambia kwamba Rais Magufuli yupo na anachapa kazi ilhali alikuwa haonekani, mimi namkubali Kassim Majaliwa.

Na ninapenda kuona anakuja kuwa Rais siku moja.

Nadhani ni kiongozi mzuri aliye ya bidii na kazi.

Kosa lake linasameheka.

..but what did he expect when he lied?

..au na yeye alikuwa analishwa matango pori kuhusu hali ya kiafya ya bwana mkubwa?
 
Leo alipotajwa mh.Kassim majaliwa kassim Bungeni, Alipigiwa makofi mengi sana tofauti na wenzake.Kwa mtazamo wangu kwa wiki hizi kadhaa waziri huyu mkuu amekosha nyoyo za watanzania wengi na ameonekana kukubalika sana.Huenda KMK akawa ndiye Rais ajaye wa JMT.

Kuna ajabu gani yeye kupigiwa makofi na majizi menzake ya kura?
 
Ukiachilia labda ile siku aliyotuambia kwamba Rais Magufuli yupo na anachapa kazi ilhali alikuwa haonekani, mimi namkubali Kassim Majaliwa.

Na ninapenda kuona anakuja kuwa Rais siku moja.

Nadhani ni kiongozi mzuri aliye ya bidii na kazi.

Kosa lake linasameheka.

Kwa mazingira yetu haya ambayo watu wakiajiriwa ofisi za umma wanafikiria kuiba tu, Majaliwa ni mtu muhimu sana. Atamfaa Mama.
 
Madongo mlio kuwa mnampiga nayo yame kwama. Hapa Mh Rais SSH anatakiwa ajifunze ni akina nani wanampenda na kumshauri ya kweli na yenye nia njema lakini pia kumtakia mema.

Wako walio mshauri aachane na PM atafute mwingine, wapambe wa viongozi wataka vyeo walioshindwa kuongoza walipo aminiwa. Wakitaka wamuondolee Mh Rais wasaidizi wenye nguvu na kukubalika ili wasimzunguÄ·e kuimarisha utawala wake na waweze kumyumbisha na kuchomeka yao.

Jambo la pili PM kaonesha ni mwanafunzi aliye funzu vizuri na kuhitumu wa Mwendazake. Mh Rais naye vivyo hivyo angeweza kumzima PM. Lakini kwa hekima kaamua kumtuma afanye kazi. Inapendeza je sasa!
 
Leo alipotajwa mh.Kassim Majaliwa Kassim Bungeni, alipigiwa makofi mengi sana tofauti na wenzake.

Kwa mtazamo wangu kwa wiki hizi kadhaa Waziri huyu mkuu amekosha nyoyo za watanzania wengi na ameonekana kukubalika sana.

Huenda KMK akawa ndiye Rais ajaye wa JMT.
Unapoona mafanikio na uthubutu wa mwendazake Magufuli basi fahamu Majaliwa ndio alikuwa mtendaji mkuu ukimwamcha mwendazake,Majaliwa ndie mwenye uthubutu pekee kama alivyokuwa mwendazake. Kwangu mimi mbali ya Majaliwa mwingine mwenye uthubutu ni Bashiru Kakurwa ,mumpende,au musimpende Bashiru ana uthubutu na uzalendo sana kwa nchi hii kuliko hao wengine. Mungu awasimamie.
 
Wote wawili i zao la jpm na hawana tofauti watesaji wauaji wazulimati wanyanganyi nk aliyeona aliyesikia aliyekaa kimya alite kaa kimya wote wanahatia
 
Back
Top Bottom