Makofi mengi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Bungeni yanaashiria nini?

Hawezi kuwa rais huyo.Achana na ndoto hizo.
Majaliwa jembe sana. Sina neno la kuongeza. Kama mtu hampendi majaliwa, nyie watu weusi, mnao dharaulika duniani, mnataka viongozi wa aina gani? Wezi? Wabadhirifu? Wavivu? Akili ya mtu mweusi huwa inanikera sana. Upuuzi puuzi tu...ukisoma historia mababu upuuzi tu na wakoloni, vizazi vya sasa upuuzi tu kushangilia viongozi wajinga wajinga.
 
Mungu aiepushe nchi yake.
Huyu Kassim Majaliwa hawezi kuja kuwa Rais.Tutarudi kwenye enzi za hayati Magufuli.
Hivyo,Haitawezekana.
Kwani enzi za Magufuli kulikuwa na nini? Watu wanaomba warudi katika mstari wa maendeleo wewe unazungumzia nini tena?
 
Back
Top Bottom