makocha wate wajifunze kutoka kwa Mourinho

Jan 27, 2012
35
3
makocha wetu wanatakiwa kujifunza kitu kutoka kwa Jose Mourinho (kocha wa real madrid) kwa kuwapenda na kuwaheshimu wachezaji, kwasababu tunajenga timu na siyo kupayuka na kuwakoromea wachezaji hali inayowakatisha tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom