Makocha waliomlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye michuano ya Olimpiki watimuliwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan

Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) imethibitisha kuondoka kwa Artur Shimak na Yury Maisevich, na Uchunguzi unaendelea

Kesi ya Krystina Timanovskaya ambaye alikataa maagizo ya kurejea Belarus ilivutia hisia za wengi kote ulimwengu. Mwanariadha huyo yupo Poland hivi sasa

=====

Two Belarusian coaches have lost their Olympic accreditations after allegedly attempting to force an athlete to leave the Games in Tokyo.

The International Olympic Committee (IOC) confirmed that Artur Shimak and Yury Maisevich had left the Olympic Village. An investigation is under way.

The case of Krystina Timanovskaya caught global attention after she refused her team's orders to fly home.

She is now in Poland, where she has been granted a humanitarian visa.

The case has again put the spotlight on Belarus, which has been ruled by authoritarian President Alexander Lukashenko since 1994. Last year, nationwide protests over his disputed re-election were violently repressed by the security forces.

Belarus says Ms Timanovskaya was removed from the national team because of her emotional state. But the 24-year-old says this is not true, saying she was removed because she spoke on Instagram about the "negligence of [her] coaches".
 
Back
Top Bottom