Makinikia ya Bar yatatushinda sasa

Niko hapa bar nimekaa jirani na Kinikia moja linanichekea halijui kuwa mimi ni Smelter.
Nahisi kulichenjua lakini nadhani kama madini nitakuta chuma chakavu manake linapiga Balimi na mimi niko ki-Acacia zaidi silipi kodi kwa Makinikia feki
umetisha mkuu
 
daa hatari sana
 
Duh! Naona wengi wanasoma kimyakimya tu, siju kama wameelewa...
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom