MAKINIKIA: Watanzania wamimininika kujifunza udereva

Medecin

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
7,864
21,209
Watanzania katika mikoa mbalimbali nchini wameanza kumiminika katika vyuo vya udereva baada ya kuahidiwa kila mtu atapata Noah yake.
Je wewe ungependa Noah yako iwe rangi gani,manual au automatic,cc ngapi na toleo gani. Mimi nataka nyeusi old model automatic transmission
Karibuni kuchagua Noah zenu
b985c063f67c142312c9507eab45fbee.jpg
d83f36dbea251fec2c5a1fb134cd3ff1.jpg
f7af16aaf6dc3cbedd4fd5f251403aca.jpg
9e44348d1b8b2c14b19d77db5789b37e.jpg
 
Iwe ya kibuluu ng'aavu.
Iwe na spotlight mpaka kwenye realms, na kwenye wipers.
Iwekewe honi ya eicha.
Iwe na buti kubwa ili kuweza kupakia makinikia ikitokea dharura.
Dah Mkuu Kwa sifa hizo itakuwa coster au Isuzu journey sio noah tena
 
Hii habari ya Noah, itaanza kuwachefua wakuuu, lkn ndo tatizo kufanya assumptions kwenye mambo ya kisayansi, nilisikia siku ile; hela yote iliyopotea tungeweza kujenga SGR kutoka dar mpaka mwanza, dhahabu yote ingeweza kujaza roli 35 za tani 7 nk, hawajui kuwa wanajenga image flan katika mawazo ya watanganyika
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom