Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,806
- 18,784
Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini.
Sikiliza video hii ya 2020 mtaalamu WA masuala ya Madini walisha note Magufuli kubadili msimamo
PIA, SOMA=> Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali
Sikiliza video hii ya 2020 mtaalamu WA masuala ya Madini walisha note Magufuli kubadili msimamo
PIA, SOMA=> Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali