Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,837
Huyu spika makinda mbona anakuwa kama shule hamna
Wabunge wanasimama kutaka kuchangia eti anawazarau
Na kuwaambia wanamidomo iliyochongoka muda wote
Kwa upande wangu binafsi naona spika ndio ana mdomo uliochongoka kuliko watu wote ndani ya bunge
Maana hana staha amekuwa mropokaji tu siku zote na kuibeba serekali waziwazi acha ujinga wako makinda kimebaki kijimwaka tu utoke hapo tumekuchoka.