Makinda: wamekataa kujiuzulu

mpambe

Senior Member
May 16, 2013
133
41
Jana baada ya kubanwa sana spika Makinda alitoboa siri ambayo sidhani kama alitarajia.. Kuwa watuhumiwa wa escrow wamekataa kujiuzulu kama walivyofanya Lowassa, Maige, Jairo na wengine.
 
Hii ya saivi ndio shida waliyokuwa wanaikwepa ccm kabla kuingiza ile report bungeni. nasa ndio tukumbule pale Muhongo aliposema ardhi ya Tanzania itatikisika kama ikibidi kuachia ngazi
 
wanakataa kujiuzulu kwa sabab wanaona biashara bado inaendelea na ufisadi haujapata dawa yake na watu walioshiriki ni wengi wanaona wao wawe kafara wakati kuna stelling kaachwa? ni hiv jambo hili lilitabiriwa na nyerere kitambo na aliliona ndio mana katoa tahadhar nyingi hawakusikia. na mimi nasema wakikomaa na msimamo wao na wapinzani wakaondoka wamekwisha kwa sabab wapinzani wataenda kuwashitaki kwa wananch jambo ambalo ni hatar zaidi ya kukubali kuachia ngaz kwa viongoz wa serikali.
 
ndiyo maana fyomuleisheini zilikuwa nyingi .....kumbe alikuwa anatupa ujumbe sisi hatukujua...!
 
Kuwajibika bila sababu za msingi ni mpuuzi mtu hawezi kuwajibika pasipo sababu za msingi.

We ---- kweli yaani watu wameiba afu unasema hakuna sababu ya msingi ---- wewe tena ---- la mamako na kufungiwa humu JF nifungiwe tu sio kushuhudia jitu linatetea upuuzi wa aina hii acha ushoga ---- we,mapenzi ya kisenge kutetea upuuzi wa kijinga namna hii ---- we
 
mkuu msamehe bure.
 
Upumbavu wako ucfikiri kila MTU anapenda issue kama hii unasema kuwa co sababu ya mcng cna uhakika kama jincia yako hujaibadilisha
 
Achana naye huyo! Anakomaa usiku na mchana wenzie kina Anna na James wanasakata magoma kusherehekea 1.6Bilion za mgawo. Yeye akipata hela ya dagaa kwa kupost ujinga maisha kwake mswano duh!
View attachment 206582

hahaaaaaaaa hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kittuuuuuuuu da!
 
Attachments

  • Chadema car.jpg
    Chadema car.jpg
    24.9 KB · Views: 608
Hata kama wabunge wa CCM wakikomaa na msimamo wa kutaka watuhumiwa wajiudhuru, huo msimamo sio msimamo wa kweli ni msimamo wa kutafutia kura katika uchaguzi wa 2015. Watanzania wasidanganyike kaniki haitati. Uchaguzi ukipita mambo ya ufisadi yataendelea kama kawa. Hakuna mkweli kati ya wote hao ni unafiki kwa kwenda mbele.
wanakataa kujiuzulu kwa sabab wanaona biashara bado inaendelea na ufisadi haujapata dawa yake na watu walioshiriki ni wengi wanaona wao wawe kafara wakati kuna stelling kaachwa? ni hiv jambo hili lilitabiriwa na nyerere kitambo na aliliona ndio mana katoa tahadhar nyingi hawakusikia. na mimi nasema wakikomaa na msimamo wao na wapinzani wakaondoka wamekwisha kwa sabab wapinzani wataenda kuwashitaki kwa wananch jambo ambalo ni hatar zaidi ya kukubali kuachia ngaz kwa viongoz wa serikali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom