Makinda: Wabunge msiwe kama watu wa Kariakoo!

Hili nalo ni tatizo jingine kwa watawala wetu kuwa hawajui hata diplomasia na namna ya kufikisha ujumbe waliokusudia bila kuwaumiza wengine hata kama wanachokizungumza ni kweli.

Napendekeza semina elekezi kwa ajili ya Mh. Spika pamoja na Naibu wake na wenyeviti wote wa kamati mbalimbali za bunge. Hope JK amelisikia hili na hiyo semina iwe inahusu matumizi ya lugha tu na awape yeye mwenyewe kwa sababu amekulia msoga pale uswazi

posho za semina hizo elekezi nani ata finance au ndio unataka kuwa andalia ulaji tu mkuu!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom